Dr Slaa kashazeeka sana!! Sidhani kama anafaa nafasi hiyo.
Nilimsikia juzi kwenye radio....anaongea kama hana meno mdomoni. Yani kiukweli kazeeka sana.
Nilimuona April...aisee kakongoroka sana.
Waangalie mtu mwingine kwa urais
Kumbe Dr Slaa ana matatizo ya mkono wa kushoto?? Duuhh
Kuna watu mnamuogopa Dr Slaa kama vile kuna jambo baya na kubwa mmewahi kukifanya dhidi yake.