truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 338
Hii itasaidia kuokoa hundreds of billions of dollars katika mchakato mzima wa uchaguzi wa rais (NEC, Hongo etc).., pesa hizo zitasaidia kupeleka umeme na maji vijijini.., hii itapendeza sana..
kwani Riz akirithishwa we unapungukiwa nini.., mbona uhamiaji watu wanarithishana..., y not urais...?!Huwa najiuliza waingereza wajinga kiasi gani wakakubali familia moja ile bata miaka na miaka
hilo neno 'Cadaver' ni TM yangu.., naomba usilitumie tena tafadhali.., otherwise itabidi nirudi kwenye 'mbwa'!
Mmh! Kuna watu huwa sijui mnawaza kwa kutumia nini, Btw una uhakika gani kwamba hizo fedha ambazo zitaserviwa zitatumika kwenye hiyo miradi uliyoitaja?Hii itasaidia kuokoa hundreds of billions of dollars katika mchakato mzima wa uchaguzi wa rais (NEC, Hongo etc).., pesa hizo zitasaidia kupeleka umeme na maji vijijini.., hii itapendeza sana..
Zitatumika tu coz si zinachangia general budget au..?!Mmh! Kuna watu huwa sijui mnawaza kwa kutumia nini, Btw una uhakika gani kwamba hizo fedha ambazo zitaserviwa zitatumika kwenye hiyo miradi uliyoitaja?
Kama ukoo mzima vilaza zenye GPA za 2 basi watuongozeee tu
Unamaanisha ukoo wa nani exactly..., sijakupata..!
My point exactly! pakiwa na kurithishana hakuna haja ya kutoa rushwa ili upate uongozi unapewa tu...duuuhhhh
kwa rushwa , upendeleo na uongo uliopo ..
Haki haitendeki sasa unadhani kutakuwa na haki kweli tukichukua hii njia.
mi naona bora tuendelee na uchagizi tu ..
Katika hali ya kushangaza Chadema kimeishiwa sera kabla ya uchaguzi ujao 2015. Walichokifanya viongozi wa Chadema ni sawa na Muislam kumkashifu Mkritu kuwa na Najisi au Kafiri kisha akakubali kumuoa au kuolewa na Mkristu huyo huyo na kusahau alivyokuwa anamkashifu. Je ni nani asiye kumbuka jinsi CUF & NCCR- MAGEUZI walivyo kashifiwa eti wameolewa na CCM?, Leo hii vyama hivyo vimekuwa visafi hadi kuungana nao?. Je baada ya vuguvugu la Katiba kupita vyama hivi vitaendelea kuungana na kutengeneza chama kimoja ama vitasambaratika na kusimamia Katiba zao?.
Wito wangu kwenu ni kuwa rudini Bungeni ili Katiba isitungwe kwa uharaka bila kuzingatia vigezo, tofauti na hivyo tutapata Katiba ya pande moja. Fikirini upya na punguzeni misimamo kwani muda uliobaki mkirudi tu kutakuwepo na mabadiliko makubwa. Msiseme wanakura pesa za Wananchi huku nanyi mlishazitafuna, hii ni sawa na kushirikiana kumchuna Ng'ombe kisha mkachukuwa kipande cha nyama na kusema " wale ndo wamekura nyama au ndo watakura nyama"
:rockon::rockon::rockon:
Hakuna mwenye akili chadema
Ukiwa chadema unakuwa mwehu