Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

cdm wanataka kuoa kwel ukiishiwa mbinu utakula mavi ccm aingoki ngo,.... labda mjiunge na kenyaa
 
Kumbe yale mabasi ambayo mbowe aliwauzia ndiyo ambayo mnayatumia kuwabeba kazaneni sana.

Wapi hapo?. Ni wapi ulipata ona mifuso au mibasi kwenye mkutano wa cdm?. Ama unataka niweke picha ya magamba hapa wakining'iniza watu juu ya mifusoo?..
 
Malimu ndo nini sasa?
Hii post ni ya kama mtu aliyeishia Std 6,halafu Pasco unagonga like bila haya
Mkuu Bramo, usitatizwe na like zangu, ni appreciation tuu!, wenzenu tumejaaliwa moyo wa ku appreciate vyote, vizuri, vibaya, vidogo vikubwa, vya maana vya kipuuzi na hata nikitukanwa humu, huwa sirudishi matukano bali hurudisha like nikimaanisha thanks!.
Thanks.
Pasco.
 
VYAMA vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimekubaliana kusimamisha mgombea mmoja urais 2015 na vitasaini makubaliano.

Source: NIPASHE Breaking news via sms.

Hata hivyo juzi (17/10/2014) nilihudhuria mkutano wa CHADEMA uliofanyika Mwananyamala Msisiri. Hayo aliyasema Mh. Wenje mbunge wa Mwanza kwamba wapo katika makubaliano ya kusimamisha mgombea mmoja mwenye kukubalika ambaye atatoka katika UKAWA kila jimbo, kata na hadi urais.
 
Hata wakalishe mgombea mmoja ni yaleyale hakuna mgombea urais upinzani wote wahuni na wenye kuangalia maslahi binafsi tu wala siyo kitu kingine.
 
itasaidia sana tu,kumbuka 2010 kuna majimbo ccm walishinda kwa kura chache,sasa pale ukiongeza na za nccr na cuf,lazima wakae!mfano shinyana masele alishinda kwa kura moja!
 
Hata wakalishe mgombea mmoja ni yaleyale hakuna mgombea urais upinzani wote wahuni na wenye kuangalia maslahi binafsi tu wala siyo kitu kingine.
Hakuna chama wahuni na washenzi wakubwa duniani kama ccm .UKAWA NI SUMU YA KUUWA CCM NA VIBARAKA WAKE WOTE PAMOJA NA WW
 
itasaidia sana tu,kumbuka 2010 kuna majimbo ccm walishinda kwa kura chache,sasa pale ukiongeza na za nccr na cuf,lazima wakae!mfano shinyana masele alishinda kwa kura moja!
Ni kweli kabisa muungano wa vyama vitatu vikubwa vya upinzani ndo njia sahihi ya kuiondoa madarakani serikali ya ccm
 
ndoto za alinacha zinawasumbua...uarafiki huo ni wa mashaka watavurugana muda si mrefu wapeni miezi miwili tu mbele

Mkuu miezi miwili imepita. Na leo wametangaza tayari nini kinafuata tarehe 26.10.2014
 
Jibu swali acha porojo sheria ya vyama vya siasa chama chenye idadi kubwa ya wabunge kinapata ruzuku nyingi, sasa nauliza chama kipi kitachukua ruzuku nyingi.

Maccm halafu wewe yanakulipa buku7 kwa wiki.
Aibu
 

huu ni mkakati wa kuvuruga vyama vya upinzani,wamepanga wenyewe bila kujitambua. Wanasaikolojia angalieni sura zao tu.kila mtu anawaza lake hapo.ngoja tuone
 
maccm ndivyo yalivyo hayasomi alama za nyakati mtz wa leo sio wa jana huyo jamaa namshauli andelee kupokea kapelo na buku teni huku mama na baba yake wanatembea ------ wazi na kupekua wewe na nali ccm
 
nimemcheki nape anawadanganya wana chuo kupitia litbc hana lolote ameishiwa sela kazi yake sasa ni matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…