Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Tumaini la mbowe,lipumba,mbatia,slaa na maalim seif peke yao

Mbona hao ndo wazalendo wa nchi hii? ulitaka liwe tumaini la Chenge, Rostam, Mkono, Jairo, Mramba na yule kiongozi wao Lowassa?
 
Acha ubishi Wewe, haya ni madhara ya kutumikishwa na watu wa ufipa. Wenzako wananunua majumba dubai wee unabaki na kisimu chako cha mchina kutetea uhafidhina

Kwa sababu wewe unaowatumikia wamekujengea na kukupa gari la kutembelea?
 
Nasikia tayari mgogoro wa chini kwa chini umeishaanza kufukuta UKAWA, kisa CUF wanalitaka jimbo la Wenje, NCCR-MAGEUZI wanalitaka jimbo la Tundu Lissu, na CHADEMA wanalitaka jimbo la Burhan!
 
Kwa sababu wewe unaowatumikia wamekujengea na kukupa gari la kutembelea?
Hapana ni kwa sababu wamenijengea shule za sekondari kila kata nchi nzima, vyuo vikuu vimefika 30, wamenitengenezea barabara za uhakika za lami nchi nzima hivi sasa natoka mtwara dar hadi mwanza kwa bajaji na zaidi ya hapo wamenijengea hospitali za rufaa kila mkoa
 
Teh teh teh kama Ubora wa Rais ni kama aliyepo ambye amekosa msimamo hta kwa maswala mazito ya Kitaifa basi una matatizo ya ubongo.
Malizia dawa zako kwanza ndipo uje najua siyo wewe unasumbuliwa na kitu fulani kichwani mwako.
 
Kwangu mimi bado sioni kama kunakitu pale make wote wale ni watoa habari wa watu wengine ,mbatia alishajiunga na kambi ya lowasa,lipumba ndiyo usiseme wakati malimu anapigania maslahi ya sultani,mbowe naye kila mtu anajua kuwa yeye anafanya biashara ndani ya chama.

Malimu ndo nini sasa?
Hii post ni ya kama mtu aliyeishia Std 6,halafu Pasco unagonga like bila haya
 
Last edited by a moderator:
Mabadiliko ya kweli yatapatikana kupitia ccm pekee

Alafu inawezekana wewe naye ni miongoni mwao wabebwao kwenye fuso kupelekwa kujaza mkutano wa chichiem kisha kugawawia buku 7 na mia tano kwa siku .
 
Back
Top Bottom