Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Ipi itakuwa "kauli sherehesha" au "motto" wa muungano huo wa UKAWA...!? Peoples power, Haki sawa, Mageuziii!!!??
 
Kwangu mimi bado sioni kama kunakitu pale make wote wale ni watoa habari wa watu wengine ,mbatia alishajiunga na kambi ya lowasa,lipumba ndiyo usiseme wakati malimu anapigania maslahi ya sultani,mbowe naye kila mtu anajua kuwa yeye anafanya biashara ndani ya chama.
Asante kwa mchango wako,

Umeonyesha upeo wako ulipoishia.
 
Kwangu mimi bado sioni kama kunakitu pale make wote wale ni watoa habari wa watu wengine ,mbatia alishajiunga na kambi ya lowasa,lipumba ndiyo usiseme wakati malimu anapigania maslahi ya sultani,mbowe naye kila mtu anajua kuwa yeye anafanya biashara ndani ya chama.

Maneno ya mkosaji!
 
Mengine yote mjadili lakini msisahau hili

"mtu ambaye ameishia darasa la saba aruhusiwe kugombea urais'
kumnyima ruhusa maana yake mnaleta ukoloni weusi.

asanten sana!
 
Jibu swali acha porojo sheria ya vyama vya siasa chama chenye idadi kubwa ya wabunge kinapata ruzuku nyingi, sasa nauliza chama kipi kitachukua ruzuku nyingi.

Kitakachokuwa na idadi kubwa ya wabunge....ugumu uko wapi?
 
Salaam!

Hatimaye wapinzani wakuu wanaunganisha nguvu zao za kisiasa! Kila ngazi ya uchaguzi watamsimamisha mgombea mmoja tu!

Tarehe 26.10.2014 makubaliano yanatiwa saini na pande zote.

Naomba uzi huu uwe maalum kwa ajili ya kujadiliana (KWA MAPANA) faida na hasara za kuunganisha nguvu za wapinzani!

Ni mjadala ulio huru kwa kila mmoja mwenye kuguswa na mwenendo mzima wa Taifa letu kielimu, kiafya, kiuchumi, nk

KARIBUNI SANA!
Rais anaweza kutoka chama chochote ila Rais bora atatoka ndani ya chama cha mapinduzi hilo haliwezi kubadilika.
 
Mabadiliko ya kweli yatapatikana kupitia ccm pekee
Miaka 53 Yote mmeishia kujenga Taifa la matabaka kati ya kundi la Waliondani ya Mfumo na ambao ni watawaliwa,

Hvyo mabadiliko hayawezekani kupitia CCM bali CCM italiangamiza Taifa na Watanzania kuendelea kuwa watumwa ndani ya Taifa lao.
 
Mawazo mufilisi kabisa haya hayana kichwa wala miguuu kiama chenu kitawakuta tena jiandai na vyama vyenu vya kikabila.
 
Rais anaweza kutoka chama chochote ila Rais bora atatoka ndani ya chama cha mapinduzi hilo haliwezi kubadilika.
Teh teh teh kama Ubora wa Rais ni kama aliyepo ambye amekosa msimamo hta kwa maswala mazito ya Kitaifa basi una matatizo ya ubongo.
 
Back
Top Bottom