chambulilo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 217
- 38
Ipi itakuwa "kauli sherehesha" au "motto" wa muungano huo wa UKAWA...!? Peoples power, Haki sawa, Mageuziii!!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa mchango wako,Kwangu mimi bado sioni kama kunakitu pale make wote wale ni watoa habari wa watu wengine ,mbatia alishajiunga na kambi ya lowasa,lipumba ndiyo usiseme wakati malimu anapigania maslahi ya sultani,mbowe naye kila mtu anajua kuwa yeye anafanya biashara ndani ya chama.
Kwangu mimi bado sioni kama kunakitu pale make wote wale ni watoa habari wa watu wengine ,mbatia alishajiunga na kambi ya lowasa,lipumba ndiyo usiseme wakati malimu anapigania maslahi ya sultani,mbowe naye kila mtu anajua kuwa yeye anafanya biashara ndani ya chama.
Kihoro cha nini ndugu tulia utaelewa tu.UKAWA wakisimamisha mgombea moja kila sehemu ruzuku ya chama ambayo inatokana na wingi wa wabunge itakwenda chama gani.
Ipi itakuwa "kauli sherehesha" au "motto" wa muungano huo wa UKAWA...!? Peoples power, Haki sawa, Mageuziii!!!??
Ni kweli Watanzania wana njaa ya mabadiliko ya kimfumo hvyo ni jambo Jema kwa Manufaa ya Taifa.Waganga njaa wameungana
Moto moto motoooooooooIpi itakuwa "kauli sherehesha" au "motto" wa muungano huo wa UKAWA...!? Peoples power, Haki sawa, Mageuziii!!!??
Mabadiliko ya kweli yatapatikana kupitia ccm pekeeNi kweli Watanzania wana njaa ya mabadiliko ya kimfumo hvyo ni jambo Jema kwa Manufaa ya Taifa.
Mabadiliko ya kweli yatapatikana kupitia ccm pekee
Tumaini la mbowe,lipumba,mbatia,slaa na maalim seif peke yaoKaulimbiu inasema hivi "UKAWA tumaini letu".
Jibu swali acha porojo sheria ya vyama vya siasa chama chenye idadi kubwa ya wabunge kinapata ruzuku nyingi, sasa nauliza chama kipi kitachukua ruzuku nyingi.
Rais anaweza kutoka chama chochote ila Rais bora atatoka ndani ya chama cha mapinduzi hilo haliwezi kubadilika.Salaam!
Hatimaye wapinzani wakuu wanaunganisha nguvu zao za kisiasa! Kila ngazi ya uchaguzi watamsimamisha mgombea mmoja tu!
Tarehe 26.10.2014 makubaliano yanatiwa saini na pande zote.
Naomba uzi huu uwe maalum kwa ajili ya kujadiliana (KWA MAPANA) faida na hasara za kuunganisha nguvu za wapinzani!
Ni mjadala ulio huru kwa kila mmoja mwenye kuguswa na mwenendo mzima wa Taifa letu kielimu, kiafya, kiuchumi, nk
KARIBUNI SANA!
Miaka 53 Yote mmeishia kujenga Taifa la matabaka kati ya kundi la Waliondani ya Mfumo na ambao ni watawaliwa,Mabadiliko ya kweli yatapatikana kupitia ccm pekee
Kipi sasa kwani ukawa ni chama.Kitakachokuwa na idadi kubwa ya wabunge....ugumu uko wapi?
Ipi itakuwa "kauli sherehesha" au "motto" wa muungano huo wa UKAWA...!? Peoples power, Haki sawa, Mageuziii!!!??
Rais anaweza kutoka chama chochote ila Rais bora atatoka ndani ya chama cha mapinduzi hilo haliwezi kubadilika.
Mawazo mufilisi kabisa haya hayana kichwa wala miguuu kiama chenu kitawakuta tena jiandai na vyama vyenu vya kikabila.Miaka 53 Yote mmeishia kujenga Taifa la matabaka kati ya kundi la Waliondani ya Mfumo na ambao ni watawaliwa,
Hvyo mabadiliko hayawezekani kupitia CCM bali CCM italiangamiza Taifa na Watanzania kuendelea kuwa watumwa ndani ya Taifa lao.
Teh teh teh kama Ubora wa Rais ni kama aliyepo ambye amekosa msimamo hta kwa maswala mazito ya Kitaifa basi una matatizo ya ubongo.Rais anaweza kutoka chama chochote ila Rais bora atatoka ndani ya chama cha mapinduzi hilo haliwezi kubadilika.