Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo litakuwa pigo kubwa sana kwa chama cha kifisadi,ccm.
Itawabidi ccm nao kushirikiana na UDP,TLP,ACT,ADC,TADEA etc
Hongereni sana UKAWA.Endeleeni hivyohivyo.
watanzania wengi hapa mtandaoni watu wapumbavu sana!.Lipumba kama kiongozi wa kisiasa amesema kuwa umoja wao wa ukawa itamsimamisha mgombea mmoja wa urais....sasa hiyo ni hoja ambayo nchi yenye watu wenye akili wanaijadili kwa faida ya nchi but hapa Tanzania ni kinyume watu wanakaa ktk mitandaoo na kuanza kukebehi!.....kukebehi hausaidii nchi bali unabomoa nchi bali kujadili ni faida na matunda kwa nchi......hizi ndizoa akili za watu wengi hapa TZ,Ambapo gari la petroli inapata ajali na mafuta inamwagika na watu wenye akili zao wanakimbilia kwenda kuiba!yamewapata fresh....aibu gani kwaviongozi wa nchi kuwa na jamii mijizi namna hii....nchi hii inakwenda kuangamia....maana sasa hivi ukipata ajali hapa TZ hakuna msaada bali ujue umetapa balaa nyingine ya kumalizwa kabisa!......ndiyo nchi ilipofikishwa maana hatukuwa hivi!.TUMEKWISHA.
Dhaifu sana! Ngoja nitumikie wananchi kwanza nitakujibu vizuri baadae!
Kuungana kama UKAWA sio jambo la msingi sana,kwasababu UKAWA(UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI) sasa wanansimamisha mgombea ili awe raisi au ili akalete katiba mpya;
Mtu anaweza akawa mteteaji na muandishi mzuri wa katiba lkn anaweza kuongoza nchi kama TZ.
UKAWA wabaki kama UKAWA na ihusu mambo ya katiba na mgombea URAISI awe kama mgombea URAISI....
Tamaa na uroho wa madaraka. Ilikuwa umoja wa katiba sasa ni umoja wa urais
Ukawa hata wakikalisha mgombea mmoja yaleyale achilia mbali kusimamisha mgombea mmoja.Mwenyekiti mweza wa ukawa pr ibrahimu lipumba ametangaza kusimamish mgombea mmoja wa urais mwaka 2015.pr lipumba ametangaza hayo akiwa anawahutubia maelu ya watu mkoani mtwara
Vingine lengo lengo ni kuleta vurugu.Kwani lengo la vyama vya Siasa ni nini? Siyo kutafuta madaraka?
Kwangu mimi bado sioni kama kunakitu pale make wote wale ni watoa habari wa watu wengine ,mbatia alishajiunga na kambi ya lowasa,lipumba ndiyo usiseme wakati malimu anapigania maslahi ya sultani,mbowe naye kila mtu anajua kuwa yeye anafanya biashara ndani ya chama.
wewe unamtindio wa ubongo..... Ok anyway mirembe lini unarudi?Kwangu mimi bado sioni kama kunakitu pale make wote wale ni watoa habari wa watu wengine ,mbatia alishajiunga na kambi ya lowasa,lipumba ndiyo usiseme wakati malimu anapigania maslahi ya sultani,mbowe naye kila mtu anajua kuwa yeye anafanya biashara ndani ya chama.
UKAWA wakisimamisha mgombea moja kila sehemu ruzuku ya chama ambayo inatokana na wingi wa wabunge itakwenda chama gani.
ndo uwezo wako umeishia hapo.... Anyway si kosa lako ila titi lililo kulea ni la wala rushwa kwa hiyo si kosa kuwaza fedha mda wote..... Wao wamesema makubaliano wanasaini... Unajua wamekubaliana nn?UKAWA wakisimamisha mgombea moja kila sehemu ruzuku ya chama ambayo inatokana na wingi wa wabunge itakwenda chama gani.
Jibu swali acha porojo sheria ya vyama vya siasa chama chenye idadi kubwa ya wabunge kinapata ruzuku nyingi, sasa nauliza chama kipi kitachukua ruzuku nyingi.Hapo umechanganya na mbayuwayu! ungetumia za kwako tu ungekuwa kichekesho cha kiwango gani?