Black fire
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 755
- 1,321
watanzania wengi hapa mtandaoni watu wapumbavu sana!.Lipumba kama kiongozi wa kisiasa amesema kuwa umoja wao wa ukawa itamsimamisha mgombea mmoja wa urais....sasa hiyo ni hoja ambayo nchi yenye watu wenye akili wanaijadili kwa faida ya nchi but hapa Tanzania ni kinyume watu wanakaa ktk mitandaoo na kuanza kukebehi!.....kukebehi hausaidii nchi bali unabomoa nchi bali kujadili ni faida na matunda kwa nchi......hizi ndizoa akili za watu wengi hapa TZ,Ambapo gari la petroli inapata ajali na mafuta inamwagika na watu wenye akili zao wanakimbilia kwenda kuiba!yamewapata fresh....aibu gani kwaviongozi wa nchi kuwa na jamii mijizi namna hii....nchi hii inakwenda kuangamia....maana sasa hivi ukipata ajali hapa TZ hakuna msaada bali ujue umetapa balaa nyingine ya kumalizwa kabisa!......ndiyo nchi ilipofikishwa maana hatukuwa hivi!.TUMEKWISHA.
Sasa unategemea nn km vijana wetu wanamaliza darasa la saba hawajui kusoma na kuandika? Ujinga unazidi kushamiri Tz!
Cku hz kuna hadi division 5!
Sifa ya mbunge ajue kusoma na kuandka!
Serikali inatumia mabilion ya pesa kuua upinzan!
Alafu usitake kubshana na watu humu ndani, wengi wameajiliwa kutetea na kuponda! Watu wanafanya juu chn upinzani wasiungane!
Hii nchi haiwezi kubadilika kwa watz wajinga tulionao hawa mpk kizazi hiki kife kije kingne!