Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umoja wa urais tanzana UUTA
Tamaa na uroho wa madaraka. Ilikuwa umoja wa katiba sasa ni umoja wa urais
Umoja wa urais tanzana UUTA
Mgombea mmoja ndo kiu ya watanzania! Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Ukawa!
Umeombwa uwachagulie jina?
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya UKAWA.Ukawa wanataka serikali tatu sio moja! Leo ghafla wameibuka wanaungana kuleta mgombea uraisi mmoja! Haya wee!! Haya twende kwenye katiba ya nchi je inaruhusu vyama kuungana na kuteua mgombea mmoja wa uraisi? Hivi UKAWA wanasoma katiba au huwa wanashinda kwenye viroba na bia za kilimanjaro? Yaani profesa mzima hajui katiba ya nchi inasemaje kuhusu hilo? Hata wakiungana katiba ya nchi inaruhusu kuunda serikali ya mseto wa vyama vingi?
UKAWA tulipowaambia wabaki bunge la katiba walifikiri tunaowashauri wajinga.Lakini tulikuwa serious ili mambo kama haya walitakiwa wabaki ndani kuyajadili kwa undani.Sasa huyo mgombea hata akipita hawezi unda serikali ya kushirikisha vyama vingine!!! Lipumba kwa kuchemka hajambo.Nashukuru hayuko tena chuo kikuu angelisha pumba watoto.

mtabadilisha misemo kila aina lkn habari ya mujini ndio hiyo kwa sasa.. Jipangeni acheni longolongo..tamaa na uroho wa madaraka. Ilikuwa umoja wa katiba sasa ni umoja wa urais
Lipumba, Mbatia, Dr.Slaa anayefaa hapo ni Mbatia peke yake.