Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Wqkiendelea kuwa pamoja hivo watashinda ila wawe makin sana na hawa wafitini hawakawii
 
Hilo litakuwa pigo kubwa sana kwa chama cha kifisadi,ccm.
Itawabidi ccm nao kushirikiana na UDP,TLP,ACT,ADC,TADEA etc
Hongereni sana UKAWA.Endeleeni hivyohivyo.
 
Ukawa hawana ubavu wa kusimamisha mgombea mmoja waa urais, wote ni waroho wa madaraka
 
Big up UKAWA msaini memorandum mapema na vyama vikwepe kurubuniwa na chama tawala dakika za mwisho. Sehemu ambayo chama fulani kinakubalika kisonge mbele na kifanyiwe kampeni na vyama vingine. Hii ni njia mojawapo nzuri sana ya kuondoa CCM madarakani. Mawakala wawachunge sana wagombea maana mbele ya njaa hakuna chama mtu anachukua posho anasepa.
 
Mgombea mmoja ndo kiu ya watanzania! Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Ukawa!
 
watanzania wengi hapa mtandaoni watu wapumbavu sana!.Lipumba kama kiongozi wa kisiasa amesema kuwa umoja wao wa ukawa itamsimamisha mgombea mmoja wa urais....sasa hiyo ni hoja ambayo nchi yenye watu wenye akili wanaijadili kwa faida ya nchi but hapa Tanzania ni kinyume watu wanakaa ktk mitandaoo na kuanza kukebehi!.....kukebehi hausaidii nchi bali unabomoa nchi bali kujadili ni faida na matunda kwa nchi......hizi ndizoa akili za watu wengi hapa TZ,Ambapo gari la petroli inapata ajali na mafuta inamwagika na watu wenye akili zao wanakimbilia kwenda kuiba!yamewapata fresh....aibu gani kwaviongozi wa nchi kuwa na jamii mijizi namna hii....nchi hii inakwenda kuangamia....maana sasa hivi ukipata ajali hapa TZ hakuna msaada bali ujue umetapa balaa nyingine ya kumalizwa kabisa!......ndiyo nchi ilipofikishwa maana hatukuwa hivi!.TUMEKWISHA.
 
Mgombea mmoja ndo kiu ya watanzania! Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Ukawa!

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya UKAWA.Ukawa wanataka serikali tatu sio moja! Leo ghafla wameibuka wanaungana kuleta mgombea uraisi mmoja! Haya wee!! Haya twende kwenye katiba ya nchi je inaruhusu vyama kuungana na kuteua mgombea mmoja wa uraisi? Hivi UKAWA wanasoma katiba au huwa wanashinda kwenye viroba na bia za kilimanjaro? Yaani profesa mzima hajui katiba ya nchi inasemaje kuhusu hilo? Hata wakiungana katiba ya nchi inaruhusu kuunda serikali ya mseto wa vyama vingi?

UKAWA tulipowaambia wabaki bunge la katiba walifikiri tunaowashauri wajinga.Lakini tulikuwa serious ili mambo kama haya walitakiwa wabaki ndani kuyajadili kwa undani.Sasa huyo mgombea hata akipita hawezi unda serikali ya kushirikisha vyama vingine!!! Lipumba kwa kuchemka hajambo.Nashukuru hayuko tena chuo kikuu angelisha pumba watoto.
 
Sasa umeandika nini???
Ni wapi wanakataza??
Povu jingi
 
Mgombea mmoja ndo kiu ya watanzania! Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Ukawa!

Ukawa inamwandaa Lowassa awe Rais kwa kupitia UKAWA. Ili litimie lile neno alilolisema Mwenyeheri Julius Kambarage Burito Nyerere kuwa Rais wa Tanzania LAZIMA atoke CCM
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya UKAWA.Ukawa wanataka serikali tatu sio moja! Leo ghafla wameibuka wanaungana kuleta mgombea uraisi mmoja! Haya wee!! Haya twende kwenye katiba ya nchi je inaruhusu vyama kuungana na kuteua mgombea mmoja wa uraisi? Hivi UKAWA wanasoma katiba au huwa wanashinda kwenye viroba na bia za kilimanjaro? Yaani profesa mzima hajui katiba ya nchi inasemaje kuhusu hilo? Hata wakiungana katiba ya nchi inaruhusu kuunda serikali ya mseto wa vyama vingi?

UKAWA tulipowaambia wabaki bunge la katiba walifikiri tunaowashauri wajinga.Lakini tulikuwa serious ili mambo kama haya walitakiwa wabaki ndani kuyajadili kwa undani.Sasa huyo mgombea hata akipita hawezi unda serikali ya kushirikisha vyama vingine!!! Lipumba kwa kuchemka hajambo.Nashukuru hayuko tena chuo kikuu angelisha pumba watoto.

Hivi unaelewa vizuri hoja au umekimbizwa huko ulikopewa kambi leo? Mgombea mmoja na idadi ya Serikali vinahusiana Vipi hapo,au ndio Ile Mulugo & Kawambwa Product?
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya UKAWA.Ukawa wanataka serikali tatu sio moja! Leo ghafla wameibuka wanaungana kuleta mgombea uraisi mmoja! Haya wee!! Haya twende kwenye katiba ya nchi je inaruhusu vyama kuungana na kuteua mgombea mmoja wa uraisi? Hivi UKAWA wanasoma katiba au huwa wanashinda kwenye viroba na bia za kilimanjaro? Yaani profesa mzima hajui katiba ya nchi inasemaje kuhusu hilo? Hata wakiungana katiba ya nchi inaruhusu kuunda serikali ya mseto wa vyama vingi?

UKAWA tulipowaambia wabaki bunge la katiba walifikiri tunaowashauri wajinga.Lakini tulikuwa serious ili mambo kama haya walitakiwa wabaki ndani kuyajadili kwa undani.Sasa huyo mgombea hata akipita hawezi unda serikali ya kushirikisha vyama vingine!!! Lipumba kwa kuchemka hajambo.Nashukuru hayuko tena chuo kikuu angelisha pumba watoto.

Dhaifu sana! Ngoja nitumikie wananchi kwanza nitakujibu vizuri baadae!
 
Lipumba, Mbatia, Dr.Slaa anayefaa hapo ni Mbatia peke yake. Mbowe hana vigezo elimu inamuangusha.
 
Uamuzi huu ulisubiliwa kwa muda mrefu hatimaye ndoto ya watanzania imetimia big up Prof. ccm asingekuwa madarakani kama strategy hii ingetumika tangu nyuma.
 
tamaa na uroho wa madaraka. Ilikuwa umoja wa katiba sasa ni umoja wa urais
mtabadilisha misemo kila aina lkn habari ya mujini ndio hiyo kwa sasa.. Jipangeni acheni longolongo..
 
wakifanya bivyo mafisadi yanashindwa uchabuzi alfajiri.
 
Back
Top Bottom