MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Wakiwaingiza Mrema, Mziray na Cheyo wajue wamekwisha!!!!!
Hawa CCM B na CCM C hawana madhara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiwaingiza Mrema, Mziray na Cheyo wajue wamekwisha!!!!!
waroho sana wa madaraka wengi wao hawawezi kutekeleza hilo
Hakika Mkuu. Hawawezina hawatathubutuwaroho sana wa madaraka wengi wao hawawezi kutekeleza hilo
Hahahahahaaaa! Hapo mbunge mmoja ni wa CCM, wengine ni rejected
Hahahahahaaaaaa, CHADEMA kwishney. Ukiona chama kinakimbilia kuomba msaada wa vyama vingine ujue ndo mwisho wake. Ila watambue kuwa nguvu ya CCM ni mara 100 ya nguvu ya UKAWA
mwekundu umeishiwa akili, duh! Kweli nimeamini zaidi zitto siyo mtu mzuri.
Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi, UKAWA wana mpango wa kuweka Mgombea Urais 2015
- Aidha, wana mpango wa kusimamisha mgombea ubunge mmoja katika majimbo
- Mbowe, Mbatia na Lipumba wazungumza na kudai ni mapema mno kutoa maelezo juu ya umoja wao!
- Vyama vimeshapeleka mapendekezo kwenye sekretarieti za vyama husika kwa ajili ya kufanyiwa uchambuzi wa kufanikisha hili
- Mbowe adai kuunganisha nguvu ya vyama vya upinzani ni suala ambalo halikwepeki kwakuwa Siasa za sasa ni dynamic (zinabadilika) na fikra za jana ni tofauti na za leo.
- Lipumba adai Katiba imewaunganisha wapinzani na kuongeza kuwa huu ni mwanzo mzuri unaoweza kutoa mwanga wa nini kitatokea mbeleni.
- Mbatia asisitiza kuwa suala la wapinzani kuungana si la kujadili maana ndiyo mahitaji ya wananchi kwa sasa!
Hakika Mkuu. Hawawezina hawatathubutu
mbowe yuko kwenye chama tu amefuta ukomo wa kipindi cha madaraka kinyemela siku akiingia ikulu akawa anaandaliwa chai kule si atajitangaza mfalme?Kwa hiyo kila anaetaka madaraka ni mroho siyo?
Isipokuwa ccm
Ndo uone hamna tofauti kati ya wanaotutawala na wanaoutaka utawala-wanaotutawala hatuwapendi na tunaowataka hatuwaamini!!Kwa hiyo kila anaetaka madaraka ni mroho siyo?
Isipokuwa ccm