Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
Wana JF,
Nani anafaa kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA / UKAWA mwaka 2015???
Mandla,
Wote wanafaa isipokuwa atachaguliwa mmoja kuwakirisha wenzake kwa vile nafasi ni moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF,
Nani anafaa kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA / UKAWA mwaka 2015???
Mandla,
Sugu au msigwa
Tehteh! Una maanisha Afande sele kova ni chadema kumbe?
Slaa labda msomi wa totoz za watu
Wana JF,
Nani anafaa kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA / UKAWA mwaka 2015???
Mandla,
Nadhani JK atagombea kupitia UKAWA maana wenzake hawamtaki na yy hataki kuachia,ndio sabab anapiga sarakasi uchaguzi
Taratibu utaanza kuelewa kuwa Wassira ni Moto unaochoma.
mamayako
Hivi mkuu una miaka mingapi??? Elimu yako ikoje?? Una kazi kweli mjini??
Wana JF,
Nani anafaa kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA / UKAWA mwaka 2015???
Mandla,
,hivi kumbe dr.slaa ni msomi? Sasa mbona mnakataa kuwaita mashekhe wote kuwa nao ni wasomi au udini ndo umewatawala!kwa Tanzania hakuna mwenye sifa zaidi ya Dr.Slaa,sb ni kuwa anajua tatizo la nchi,hana usasi,ni msomi,ana ujasiri,ni mfuatiliaji,anapenda kusoma,anapenda demokrasia,anapenda kuona mali asili yetu inatunufaisha...waziri wake wa fedha awe lipumba,waziri wa mambo ya ndani lema....
Ha ha ha smoke screen cover, ha ha ......!!!&&&? Nyani haoni kundule....!!!!?Hakuna ukawa wa cdm ambao wana watu wa kua viongozi wa nchi, viongozi wako ccm pekee ndio mana kila kukicha wananchi wanajiuliza ni lowasa, membe, makamba, wasira au sita? Maana wana imani na chama chao na watu wao makini, wajiulize kutoka cdm kuna nani? Labla chifu maliale wa machame aamke upya lkn si urais wa nchi,