Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maendeleo yapi unayaongelea kufungua viwanda vya gongo.tatizo watu hawataki kujua malengo ya cdm.cdm hawataki kutawala wanataka kumletea maendeleo.Tofauti na CCM ambao wanaamini wao tu ndio wana akiki timamu
Nitahama hii nchi kama hiyo ndo safu ya uongozi!Khaa!Vyama vya upinzani ukiondoa CDM inamamluki wa CCM na wanajulikana! Good Move ila isije ikatokea kama ya kule Tarime ambapo vyama vya upinzani vilikubaliana kumsimamisha mgombea wa CDM lakini mwisho wa siku kila chama kilimsimamisha mgombea wake! ...Naamini Lipumba ni presidential material kwa JMT na Maalim atafaa kuongoza SMZ, Mbowe atafaa kuongoza Tanzania bara... Nawatakia kila la kheri UKAWA!...
Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi, UKAWA wana mpango wa kuweka Mgombea Urais 2015
- Aidha, wana mpango wa kusimamisha mgombea ubunge mmoja katika majimbo
- Mbowe, Mbatia na Lipumba wazungumza na kudai ni mapema mno kutoa maelezo juu ya umoja wao!
- Vyama vimeshapeleka mapendekezo kwenye sekretarieti za vyama husika kwa ajili ya kufanyiwa uchambuzi wa kufanikisha hili
- Mbowe adai kuunganisha nguvu ya vyama vya upinzani ni suala ambalo halikwepeki kwakuwa Siasa za sasa ni dynamic (zinabadilika) na fikra za jana ni tofauti na za leo.
- Lipumba adai Katiba imewaunganisha wapinzani na kuongeza kuwa huu ni mwanzo mzuri unaoweza kutoa mwanga wa nini kitatokea mbeleni.
- Mbatia asisitiza kuwa suala la wapinzani kuungana si la kujadili maana ndiyo mahitaji ya wananchi kwa sasa!
Nilishawahi shauri vyama viungane lakini CHADEMA wakatupuuza, kuwa wao wapo vizuri 2015 lazima wachukuwe nchi. Nashukuru sasa wameona kuwa bila umoja CCM kutoka madarakani ni ngumu.Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi, UKAWA wana mpango wa kuweka Mgombea Urais 2015
- Aidha, wana mpango wa kusimamisha mgombea ubunge mmoja katika majimbo
- Mbowe, Mbatia na Lipumba wazungumza na kudai ni mapema mno kutoa maelezo juu ya umoja wao!
- Vyama vimeshapeleka mapendekezo kwenye sekretarieti za vyama husika kwa ajili ya kufanyiwa uchambuzi wa kufanikisha hili
- Mbowe adai kuunganisha nguvu ya vyama vya upinzani ni suala ambalo halikwepeki kwakuwa Siasa za sasa ni dynamic (zinabadilika) na fikra za jana ni tofauti na za leo.
- Lipumba adai Katiba imewaunganisha wapinzani na kuongeza kuwa huu ni mwanzo mzuri unaoweza kutoa mwanga wa nini kitatokea mbeleni.
- Mbatia asisitiza kuwa suala la wapinzani kuungana si la kujadili maana ndiyo mahitaji ya wananchi kwa sasa!
Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi, UKAWA wana mpango wa kuweka Mgombea Urais 2015
- Aidha, wana mpango wa kusimamisha mgombea ubunge mmoja katika majimbo
- Mbowe, Mbatia na Lipumba wazungumza na kudai ni mapema mno kutoa maelezo juu ya umoja wao!
- Vyama vimeshapeleka mapendekezo kwenye sekretarieti za vyama husika kwa ajili ya kufanyiwa uchambuzi wa kufanikisha hili
- Mbowe adai kuunganisha nguvu ya vyama vya upinzani ni suala ambalo halikwepeki kwakuwa Siasa za sasa ni dynamic (zinabadilika) na fikra za jana ni tofauti na za leo.
- Lipumba adai Katiba imewaunganisha wapinzani na kuongeza kuwa huu ni mwanzo mzuri unaoweza kutoa mwanga wa nini kitatokea mbeleni.
- Mbatia asisitiza kuwa suala la wapinzani kuungana si la kujadili maana ndiyo mahitaji ya wananchi kwa sasa!
Nitahama hii nchi kama hiyo ndo safu ya uongozi!Khaa!
endeleeni kujidanganya tu hicho ni kifo cha mendeKwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi, UKAWA wana mpango wa kuweka Mgombea Urais 2015
- Aidha, wana mpango wa kusimamisha mgombea ubunge mmoja katika majimbo
- Mbowe, Mbatia na Lipumba wazungumza na kudai ni mapema mno kutoa maelezo juu ya umoja wao!
- Vyama vimeshapeleka mapendekezo kwenye sekretarieti za vyama husika kwa ajili ya kufanyiwa uchambuzi wa kufanikisha hili
- Mbowe adai kuunganisha nguvu ya vyama vya upinzani ni suala ambalo halikwepeki kwakuwa Siasa za sasa ni dynamic (zinabadilika) na fikra za jana ni tofauti na za leo.
- Lipumba adai Katiba imewaunganisha wapinzani na kuongeza kuwa huu ni mwanzo mzuri unaoweza kutoa mwanga wa nini kitatokea mbeleni.
- Mbatia asisitiza kuwa suala la wapinzani kuungana si la kujadili maana ndiyo mahitaji ya wananchi kwa sasa!
Yaani lipumba aache kugombea urais,slaa aache kugombea urais? Maalim seif aache kugombea urais? Jua litachomoza magharibi
tunataka tuwapime kwanza kwenye hili la katiba kama mtaweza,,,uchaguzi bado sana shughulikrni na katiba kwanza tuone kazi yenu, either isipatikane au ipatikane ya wananchi na c ya ccm