Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
UKAWA wasimamishe mgombea ubunge mmoja kwa kila jimbo kutegemea na kukubalika kwa chama jimboni hapo. Kama ni Arusha basi UKAWA wasimamishe mgombea wa chadema, na kama ni Lindi UKAWA wasimamishe mgombea wa CUF.
Kwa kufanya hivyo viti vingi vya ubunge vitachukuliwa na UKAWA na kuinyima CCM nafasi ya kuwa na viti vingi bungeni.
mimi ninapinga kabisa na haitawekana kuwa na mgombea mmoja kila jimbo,kwa urais itawezekana. Msiwe na mategemeo chanya tu, kuna maeneo hawatakubaliana kabisa,kuna maeneo watakubaliana ila wananchi hawatakubaliana na chaguo la UKAWA hasa anaekubalika anapokosa nafasi,na wananchi watapiga kura kwa hasra,pia mpango huu unaua demokrasia na hautakuwa rafiki kwa wanasiasa vijana na chipukizi mana wazoefu ndio watapewa nafasi kwa kigezo cha KUKUBALIKA na si UWEZO. VIJANA NA WAPYA WANAWEZA KUWA NA UWEZO ILA HAWATAPENYA KWENYE UKAWA