Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
Huo umoja wenu ipo siku utafirisika maana kuna watu humo wako kimaslahi ya matumbo yao na hawa tuna waita WACHUMIA MATUMBO, hasa hasa hao viongozi wa CHADOMO maana ripoti ya CAG hivi majuzi imewataja baadhi ya viongozi wa chama hiko kuwa waligawana fedha ambazo zilikuwa ruzuku ya chama kwa watu watatu, hiyo ni aibu sana kukwiba fweza kololooo kama hizo, tena za chama afu mnakimbilia Marekani kuomba nyingine ili muendelee kuzitafuna, behind za scene mnawasema wenzenu kuwa ni mafisadi? Sasa je wewe Dkt. SI-RAHA na MBO-WEWE muwaeleze wanachama wenzenu wa Ukawa zile bilioni 2 mmezipeleka wapi? Maana kwa styl hiyo mtakuja kuwaibia hata wenzenu akina MBAYATIA na akina LIPO-PUMBA, angalieni boriti zenu kbala hamjaangalia vibanzi vya majicho ya wenzenu!
Mwaka huu tafuteni vipaji vingine kama vile kukwiba fweza maana hiko ndo kipaji chenu kikubwa, hatuwashangai maana tabia yenu hiyo mmekulia nayo tokea mko wadogo, na hilo hamlibishii maana tabia hujenga mazoea! Hiki kipaji mnachokilazimisha cha kuwa wanasiasa kimewashinda na hamtakiweza, kubalini ukweli nyie ni level ya uchotaji fedha tuu za chama na sio vinginevyo, hao wanaowatetea nao ni wachumia matumbo wenu wasiojua ukweli wa uchafu wenu uliojificha, hasa hao vijana mnaowavalisha magwanda utadhani wanaenda kulinda lindo la usiku! Hahahaha mwaka huu mmechemka!