haki na usawa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 485
- 138
Hoja ya msingi ni ya kumsifia Mbowe na si lingine maana huyo hana makosa lakini siku wakija kujua kumbe hicho sio chama bali ni SACCOS ndo watajayaelewa unayoyasema!!! Maana vijana wa CHADEMA hata ripoti ya CAG hawajaisoma lakini wapo kukanusha tu!!! Someni ripoti sio muda wa kutetea wahalifu!!!! Hapa ungesema leta ushahidi na sio kuanza matusi!!!!! Msiwe kama enzi za FIRAUNI kuwa na yeye ni Mungu!!!! Kila mwanadamu anamapungufu yake!! Asiye na mapungufu ni ALLAH (Mungu tu) lakini sisi wanadamu tumejawa na tamaa!!!!