UKAWA mbona hamjadili ruzuku zilizochotwa na viongozi wa Chadema zile 2bn?

Hao ndo wanasi-hasa
Mtaji domo
Waiinga ndo tuliwao
 

Kama hizi habari zina ukweli basi hatuna budi kulaani matumizi mabaya ya madaraka, tusijifanye tuna makengeza endapo Viongozi wanakosea tusimame kidete kusema ukweli. Haijalishi ni UKAWA au CCM. Ufisadi ni ufisadi tu hauna jina jingine mbadala.
 
CHADEMA wabishinsana eti hawajui ufisadi ukifanyika ndani ya CHADEMA ila ukifanyika nje ndo wanaona, teh teh teh eti organ sense zao zinanasa mbali ila walipo kaa hazifanyi kazi ndo maana wamemshangaa CAG alipowarukia kwa wizi wa Ruzuku!
 
Mkuu kweli nna hasra nao sana ila kimoja tu kura lazima niwape maana hasra ya ccm ndo haielezek kabisa
 

Inazidi ile ya Escrow. Epa . Meremeta . Richmond .etc. Zinazidi ?
 
Ukikaa ukitafakar Hakuna kosa kubwa kama kuipa kura ccm uchaguz huu maana hawajielewi kabisa ni mafisadi Mpaka kweny kitabu cha guines wapo
 
Inazidi ile ya Escrow. Epa . Meremeta . Richmond .etc. Zinazidi ?

Kumbuka ukinyoosha kidole kwa mwenzio, vinne vinakugeukia wewe. Issue hapa ni matumizi, unaona ya mwingine na ya kwako hutaki kuambiwa. Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ili uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Usihalalishe ubaya kwa kusema huu ni mdogo na ule ni mkubwa. Ubaya ni ubaya. Kama leo unasema wa kwako ni mdogo na hujapewa mamlaka, ukipewa si ndiyo itakuwa balaa maana umeshazoea kuona kuwa wewe huna dhambi ila wengine wanadhambi. Be carefull usituzuge hapa.
 
Umeandika upuuzi mtupu! Tanzania haiwezi kuendelea kwa kuwa na watu wanaowaza kwa kutumia masaburi.... ungekuwa na hoja nzuri kama usingeweka huo upuuzi wako
Wewe na akili yako ndo mpuuzi usiyetaka kuelewa hata ukielimishwa paka weee
 
Hapo kuna sifa gani zaidi ya
mitusi yenu!! Na wewe bila aibu
unashukuru kwa kusifiwa daaa
kweli mizigo ndani ya taifa inaongezeka!!!
hahahahaaaaa Mpwa, hujaelewa lolote hapo, ulitaka na mimi nimtukane? Hahahhaaaaa watu wazima ndio tunavyojibu hivyo, mwenye akili ameelewa Mpwa, usijali
 
hahahahaaaaa Mpwa, hujaelewa lolote hapo, ulitaka na mimi nimtukane? Hahahhaaaaa watu wazima ndio tunavyojibu hivyo, mwenye akili ameelewa Mpwa, usijali

Acheni kuzingua nyie, mkuu Elli na hao wenzio mambo gani mnafanya hapa! Hoja mmeiona mnakalia kuzingua tu!
 
hahahahaaaaa Mpwa, hujaelewa lolote hapo, ulitaka na mimi nimtukane? Hahahhaaaaa watu wazima ndio tunavyojibu hivyo, mwenye akili ameelewa Mpwa, usijali
Wewe kiazi tuu na utaendelea kutukanwa mende weeee
 
Kwanza jua maana ya ruzuku kwa vyama! ndipo uulize kijiswali chako. Ruzuku ya chama ni kuboresha na kuimarisha vyama kuanzia shinani hadi taifani. Sio ya kukugawia dona kapige zege acha kupaka inna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…