haki na usawa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 485
- 138
Kwanza jua maana ya ruzuku kwa vyama! ndipo uulize kijiswali chako. Ruzuku ya chama ni kuboresha na kuimarisha vyama kuanzia shinani hadi taifani. Sio ya kukugawia dona kapige zege acha kupaka inna.
Njaa inawasumbua hao kaka achana nao, ripoti imeeleza kila kitu, 2bn zimetafunwa na chama chao afu wao wako mstari wa mbele kuwatuhumu wenzao wa ccm, wao si wasafi hata kidogo.Hoja ya msingi ni ya kumsifia Mbowe na si lingine maana huyo hana makosa lakini siku wakija kujua kumbe hicho sio chama bali ni SACCOS ndo watajayaelewa unayoyasema!!! Maana vijana wa CHADEMA hata ripoti ya CAG hawajaisoma lakini wapo kukanusha tu!!! Someni ripoti sio muda wa kutetea wahalifu!!!! Hapa ungesema leta ushahidi na sio kuanza matusi!!!!! Msiwe kama enzi za FIRAUNI kuwa na yeye ni Mungu!!!! Kila mwanadamu anamapungufu yake!! Asiye na mapungufu ni ALLAH (Mungu tu) lakini sisi wanadamu tumejawa na tamaa!!!!
Xana,walixabasha,wanaxema,walixema???? What f-u-c-k is wrong with you young boys???? This is the indicator of low level of reading and writing literacy. Hizi Lugha zenu za kitoto si mtumiane huko sasa mnaleta mpaka huku jamii forumsHawa jamaa mie nashangaa xana zitto kuwasema tu kdogo wakaona nibora tumuengue mapema na haohao walixabasha lowassa kujiuzulu leo wanaxema hawana ushahd ambao unaonyesha lowassa kuwa na makosa wakat mwanzo walixema wanaushahd wote sasa wadau nsaidien kipi ni kwel kwenye hii siasa ya Tanzania na hawa viongoz wetu
Xana,walixabasha,wanaxema,walixema???? What f-u-c-k is wrong with you young boys???? This is the indicator of low level of reading and writing literacy. Hizi Lugha zenu za kitoto si mtumiane huko sasa mnaleta mpaka huku jamii forums
Balehe zinakusumbua? Unaweza kuniuliza mkongwe kama mimi kama sielewi?Punguza hasira au huelewi?
Balehe zinakusumbua? Unaweza kuniuliza mkongwe kama mimi kama sielewi?
Njaa inawasumbua hao kaka achana nao, ripoti imeeleza kila kitu, 2bn zimetafunwa na chama chao afu wao wako mstari wa mbele kuwatuhumu wenzao wa ccm, wao si wasafi hata kidogo.
Hoja ya msingi ni ya kumsifia Mbowe na si lingine maana huyo hana makosa lakini siku wakija kujua kumbe hicho sio chama bali ni SACCOS ndo watajayaelewa unayoyasema!!! Maana vijana wa CHADEMA hata ripoti ya CAG hawajaisoma lakini wapo kukanusha tu!!! Someni ripoti sio muda wa kutetea wahalifu!!!! Hapa ungesema leta ushahidi na sio kuanza matusi!!!!! Msiwe kama enzi za FIRAUNI kuwa na yeye ni Mungu!!!! Kila mwanadamu anamapungufu yake!! Asiye na mapungufu ni ALLAH (Mungu tu) lakini sisi wanadamu tumejawa na tamaa!!!!
Cdm sasa hv wanapumulia
angani wameruhusu mafisadi
kuingia kwa hati ya mzee Mtei!
hawa ni mafisadi tu na wezi wa ruzuku wala wasiwape taabu.mwaka 2009/2010 hamkupeleka hesabu zao kwa cag kwa ukaguzi, 2010/2011 napo hawakupeleka kisa wanaogopa walikwiba sana 2011/2012 cag akawalima hati yenye mashaka, 2012/2013 wakapigwa hati yenye mashaka kwa matumizi mabaya ya ruzuku wanayopewa na serikali ya inayoongozwa na ccm. Hawa ni wezi tu haijalishi wamevaa magwanda au la!
Kama report imesema basi tupelekwe mahakamani kwakuwa tunawajibika kuzirudisha pesa. Ila kam uko humu kufurahisha jamii wewe endelea kuongea. Maana zile ni fedha za umma lazima zitumike kwa hesabu thabiti. Unatakiwa kuwa mkweli ndugu.
Baba yako kasha jiunga wewe unasubili nini?
Nadhani tumejua nani anapumulia mipira.
acheni magugu yaote pamoja, zikiliwa CCM ni mafisadi lkn upande wa pili tunajenga chama ww ovyo