Tetesi: UKAWA Mpya kuzaliwa, hakutakuwa na ACT

olimpio

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
418
Reaction score
866
Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa.

ACT wametengwa kwa kuwa msimamo wao na ushiriki wao kwenye Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar unawafunga mikono.

Baadhi ya wana CCM wanaotajwa kusakwa kwa udi na uvumba na Chadema kwenye mkakati huu ni viongozi waandamizi kama Joseph Butiku, Warioba, Bashiru Ally na Luhaga Mpina (huyu wanamtafuta kwa kuwa ana mgogoro na chama chake kwa sasa).

Rai yangu: Nawasihi Chadema wakanyage taratibu huu waya wanaotaka kuuendea, kuhusisha dini kutawagawa wanachama wao na kama chama cha siasa si jambo la busara sana kuegemea kwenye taasisi za kidini.
 
CDM hawana muda wa kushirikiana tena na hivyo vyama vya upinzani maana madhara ya Ukawa tumeyaona. Kama watashirikiana a taasisi yoyote ya kidini ni ili kutupatia watanzania wengi tunachokitaka, na wala sio kubadili imani za watu. Hizo propaganda za kijinga ili CCM waendelee kukaa madarakani kwa shuruti zilishapitwa na wakati.
 
Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa.

ACT wametengwa kwa kuwa msimamo wao na ushiriki wao kwenye Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar unawafunga mikono.

Baadhi ya wana CCM wanaotajwa kusakwa kwa udi na uvumba na Chadema kwenye mkakati huu ni viongozi waandamizi kama Joseph Butiku, Warioba, Bashiru Ally na Luhaga Mpina (huyu wanamtafuta kwa kuwa ana mgogoro na chama chake kwa sasa).

Rai yangu: Nawasihi Chadema wakanyage taratibu huu waya wanaotaka kuuendea, kuhusisha dini kutawagawa wanachama wao na kama chama cha siasa si jambo la busara sana kuegemea kwenye taasisi za kidini.
Chadema inatakiwa kuwa na voting block za aina mbili, vitual na real. Vitual ni dini, real ni kanda.
 
Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa.

ACT wametengwa kwa kuwa msimamo wao na ushiriki wao kwenye Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar unawafunga mikono.

Baadhi ya wana CCM wanaotajwa kusakwa kwa udi na uvumba na Chadema kwenye mkakati huu ni viongozi waandamizi kama Joseph Butiku, Warioba, Bashiru Ally na Luhaga Mpina (huyu wanamtafuta kwa kuwa ana mgogoro na chama chake kwa sasa).

Rai yangu: Nawasihi Chadema wakanyage taratibu huu waya wanaotaka kuuendea, kuhusisha dini kutawagawa wanachama wao na kama chama cha siasa si jambo la busara sana kuegemea kwenye taasisi za kidini.
Kwahy mnataka Ukristo dhidi ya Uislamu?aibu sana hata soni hamna?

Wajinga kabisa.
 
Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa.

ACT wametengwa kwa kuwa msimamo wao na ushiriki wao kwenye Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar unawafunga mikono.

Baadhi ya wana CCM wanaotajwa kusakwa kwa udi na uvumba na Chadema kwenye mkakati huu ni viongozi waandamizi kama Joseph Butiku, Warioba, Bashiru Ally na Luhaga Mpina (huyu wanamtafuta kwa kuwa ana mgogoro na chama chake kwa sasa).

Rai yangu: Nawasihi Chadema wakanyage taratibu huu waya wanaotaka kuuendea, kuhusisha dini kutawagawa wanachama wao na kama chama cha siasa si jambo la busara sana kuegemea kwenye taasisi za kidini.
CHADEMA hata wakisimama wenyewe kwa sasa wana NGUVU kuliko miaka yote iliyopita.
 
Wewe chawa wa mama kila siku unakuja na tetesi zisizo eleweka, ulianza na Warioba kutaka kuhamia upinzani kisa anaupinga ule mkataba wa hovyo wa bandari, muendelezo wako ndio unakuja na hii ya UKAWA ili umuweke tena Mzee Warioba kwenye wale watakaojiunga huko..

Wacha utoto, mtu kupinga jambo sio lazima ahame chama, anaweza kupinga akabaki huko huko chamani kwenu.
 
Wacheni kuokota matapishi ya CCM mwisho wa siku unawasikia wanarudi nyumbani na this kind of waves are erupting near uchaguzi Mkuu, na hizo ni dalili za woga na kutokujiamini kwa kutegemea vigogo kutoka CCM ,siku zote mtaachwa kwenye mataa kwa udumaa huo,mkiambiwa nyie ni tawi la CCM mnapiga makelele.
Halafu wacheni kukusanya mapadre na makasisi mnakifanya chama kionekane cha kidini zaidi. haoo waacheni makanisani wakusanye sadaka.
 
Muungano wowote wa vyama vya upinzani usiohusisha ACT Wazalendo au chama chochote kipya cha siasa kitakachojipanga kushiriki chaguzi zijazo kina uhakika wa kupata kura yangu na washirika wangu kwa asilimia 💯
 
Mpina ana mgogoro gani na ccm? Mpina kwenye hoja zake kuna mahali kaiongelea ccm.? Hoja za Mpina zipo kitaifa na yeyote mwenye mapenzi mema na taifa anamuelewa.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa.

ACT wametengwa kwa kuwa msimamo wao na ushiriki wao kwenye Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar unawafunga mikono.

Baadhi ya wana CCM wanaotajwa kusakwa kwa udi na uvumba na Chadema kwenye mkakati huu ni viongozi waandamizi kama Joseph Butiku, Warioba, Bashiru Ally na Luhaga Mpina (huyu wanamtafuta kwa kuwa ana mgogoro na chama chake kwa sasa).

Rai yangu: Nawasihi Chadema wakanyage taratibu huu waya wanaotaka kuuendea, kuhusisha dini kutawagawa wanachama wao na kama chama cha siasa si jambo la busara sana kuegemea kwenye taasisi za kidini.
Wewe dada mbona mzushi hivyo?
 
Mpina ana mgogoro gani na ccm? Mpina kwenye hoja zake kuna mahali kaiongelea ccm.? Hoja za Mpina zipo kitaifa na yeyote mwenye mapenzi mema na taifa anamuelewa.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Mpina ashanyimwa hadi U-NEC unadhani watampa ubunge tena?
 
Back
Top Bottom