olimpio
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 418
- 866
Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa.
ACT wametengwa kwa kuwa msimamo wao na ushiriki wao kwenye Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar unawafunga mikono.
Baadhi ya wana CCM wanaotajwa kusakwa kwa udi na uvumba na Chadema kwenye mkakati huu ni viongozi waandamizi kama Joseph Butiku, Warioba, Bashiru Ally na Luhaga Mpina (huyu wanamtafuta kwa kuwa ana mgogoro na chama chake kwa sasa).
Rai yangu: Nawasihi Chadema wakanyage taratibu huu waya wanaotaka kuuendea, kuhusisha dini kutawagawa wanachama wao na kama chama cha siasa si jambo la busara sana kuegemea kwenye taasisi za kidini.