Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Kati ya mambo ambayo nimefurahishwa nayo ni hili la UKAWA kukubali Katiba inayopendekezwa,suala la mgombea Huru/Binafsi, tume Huru ya uchaguzi,Matokeo ya Urais kupingwa mahakama ya juu,Suala la mshindi wa Urais kupata kura zaidi ya 50% ya kura zote halali zitakazopigwa na mengine mengi yanayohusu masuala ya Imani za dini,umiliki wa ARdhi, haki za makundi mbalimbali, utambuzi wa shughuli za uimarishaji wa utafiti kwa maendeleo ya taifa Ibara ya 16.
Hongereni UKAWA kwa kuunga mkono Katiba Inayopendekezwa,mmeonesha njia kwa wanaowafuata katika ujenzi wa taifa imara.
Mungu Ibariki Tanzania.
Hongereni UKAWA kwa kuunga mkono Katiba Inayopendekezwa,mmeonesha njia kwa wanaowafuata katika ujenzi wa taifa imara.
Mungu Ibariki Tanzania.