Mwakaboko King
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 1,099
- 207
Nape wa lumumba
Umekurupuka asububi kuingia humu JF hii ndo hoja yako ha ha ha chenga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape wa lumumba
Nape wa lumumba
Kati ya mambo ambayo nimefurahishwa nayo ni hili la UKAWA kukubali Katiba inayopendekezwa,suala la mgombea Huru/Binafsi, tume Huru ya uchaguzi,Matokeo ya Urais kupingwa mahakama ya juu,Suala la mshindi wa Urais kupata kura zaidi ya 50% ya kura zote halali zitakazopigwa na mengine mengi yanayohusu masuala ya Imani za dini,umiliki wa ARdhi, haki za makundi mbalimbali, utambuzi wa shughuli za uimarishaji wa utafiti kwa maendeleo ya taifa Ibara ya 16.
Hongereni UKAWA kwa kuunga mkono Katiba Inayopendekezwa,mmeonesha njia kwa wanaowafuata katika ujenzi wa taifa imara.
Mungu Ibariki Tanzania.
Wewe ni kibaraka tu na huwaelewi ukawa unafikiri mawazo yao ni kama yako unapinga vitu usivyovijua humu, msimamo wa Ukawa ndo huo sasa kama ulikua haujui tena Dr.Slaa aliwahi kuwaambia wtz ataruhusu utengenezaji wa gongo kisheria kwani yeye sio Ukawa??? Sasa au kabadilika? Na hiyo gongo yake ataitengenezaje kisheria kama hakuna mfumo wa kusimamia uvumbuzi,utafiti,uendelezaji wa teknolojia,ubunifu na usimamizi wa bidhaa bora kupitia uendelezaji wa local people au hilo haulijui?nenda kamuuliza Silaa acha kushangaa humu.

Si ukampime sasa afu ulete matokeo hapa JF kuliko kuwa kanjanja!Unamatatizo ya ubongo?
kwa hiyo hicho kipengele cha gongo kipo ktk katiba pendekezwa?
Si ukampime sasa afu ulete matokeo hapa JF kuliko kuwa kanjanja!
Hakuna hata haja ya kumpima,Unaweza kumtambua chizi kwa maneno na matendo yake, huyu nimempima kwa matapishi yake
Daa mmeshaanza zenu kuchafua hali ya hewa JF hoja ya msingi mnaikimbia kazi kurukiana why? Hoja plz kujibu na sio kelele!!!
Nape wa lumumba
Wewe na yeye nani kibaraka?
Wewe na yeye nani kibaraka?
Mwenyewe kibaraka,jibu hoja
Kwenye Katiba inayopendekezwa Ibara ya 20 kuna kipengele cha kusimamia uvumbuzi, utafiti na uendelezaji wa teknolojia pia ubunifu na usimamizi wa bidhaa bora hilo la utengenezaji wa gongo kisheria analijua vizuri Dk.Silaa mpigie simu!!!
Kwa akili yako wewe umeona hoja hiyo niyamsingi?
We vp jikite kwenye mada acha kejeli, ukweli ni kwamba Ukawa kwa sasa umoja wao unavunjika mda wowote maana wamekutana wote wenye uchu wa madaraka na baadhi yao wameamua kukubali ukweli kwamba katiba hii imetuliakwakulazimisha mambo itakuwa wewe ni mmoja wa wale waliokuwa wanakusanya kura za bunge maalumu la katiba kwa watu waliokwenda kuhiji mkakusnya hadi za kina marehemu.
We vp jikite kwenye mada acha kejeli, ukweli ni kwamba Ukawa kwa sasa umoja wao unavunjika mda wowote maana wamekutana wote wenye uchu wa madaraka na baadhi yao wameamua kukubali ukweli kwamba katiba hii imetulia