Ukawa waikubali katiba inayopendekezwa!!!

Du haya bwana ngoja ni coment ili roho yako ilidhike
 
Unamatatizo ya ubongo?
 
Wewe na yeye nani kibaraka?
 
kwa hiyo hicho kipengele cha gongo kipo ktk katiba pendekezwa?
 
Kwenye Katiba inayopendekezwa Ibara ya 20 kuna kipengele cha kusimamia uvumbuzi, utafiti na uendelezaji wa teknolojia pia ubunifu na usimamizi wa bidhaa bora hilo la utengenezaji wa gongo kisheria analijua vizuri Dk.Silaa mpigie simu!!!
 
Hakuna hata haja ya kumpima,Unaweza kumtambua chizi kwa maneno na matendo yake, huyu nimempima kwa matapishi yake

Daa mmeshaanza zenu kuchafua hali ya hewa JF hoja ya msingi mnaikimbia kazi kurukiana why? Hoja plz kujibu na sio kelele!!!
 
Kwenye Katiba inayopendekezwa Ibara ya 20 kuna kipengele cha kusimamia uvumbuzi, utafiti na uendelezaji wa teknolojia pia ubunifu na usimamizi wa bidhaa bora hilo la utengenezaji wa gongo kisheria analijua vizuri Dk.Silaa mpigie simu!!!

kwakulazimisha mambo itakuwa wewe ni mmoja wa wale waliokuwa wanakusanya kura za bunge maalumu la katiba kwa watu waliokwenda kuhiji mkakusnya hadi za kina marehemu.
 
We vp jikite kwenye mada acha kejeli, ukweli ni kwamba Ukawa kwa sasa umoja wao unavunjika mda wowote maana wamekutana wote wenye uchu wa madaraka na baadhi yao wameamua kukubali ukweli kwamba katiba hii imetulia
 
day dreaming subiria mkono uanguke kama fisi pia na ww kuna hoja hapo gongo na katiba mpya wapi na wap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…