bmbalamwezi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 788
- 195
Toa hoja acha kutukanana kwenye forum. Muungwana hatukani analeta hoja. Kweli UKAWA wameikubali katiba Inayopendekezwa ila kwa sababu hauna information ndo mana unaanza matusi. Jiheshimu kijana au kibabu.Duh umelipwa sh. ngapi ulete uongo huu hapa, pumbaf haiwezekani watu waligomea posho afu saiz wakubali utumbo huu
Don't be the doubting Thomas. Wameikubali tu mengine hayo mashairi unayoongeza ya nini. Nawe kama hujaikubali ungana nasi wana UKAWA tujiunge pamoja.Yan wameikubali kirahisi hivyo si haba watakuwa wamekula 'kima cha chini' hao!
Don't be the doubting Thomas. Wameikubali tu mengine hayo mashairi unayoongeza ya nini. Nawe kama hujaikubali ungana nasi wana UKAWA tujiunge pamoja.
Usifanye kazi kwa hisia na mihemko. Fanya utafiti kidogo ufahamu nini kilichojiri kabla ya kuleta assumptions zako.Basi ngoja nibadilishe lugha: Huenda kina Tundu watakuwa wametishiwa kunyang'anywa vyeti vyao vya sheria iwapo wasingipitisha... Nchi hii ina silaha nyingi za kumwangamiza kila adui, sio mizinga na vifaru peke ake...
Duuu ndo kazi unayoifanya humu badala ya kujibu hoja umegeuka hansard!!!!:mvutaji::mvutaji::mvutaji:
Ha ha na sihitaji kuaminiwa na wewe cause huji unalolitenda humu!hiyo mizizi yako imeota kwenye mwamba ndo maana hata post zako hazieleweki endelea kutetea yasiyowezekana!Katiba inayopendekezwa inapita hiyo!!!Mkuu hiyo maana yake n kwamba tusikuamini kirahisi maana bado huna mizizi jamvini
Huu ni upotoshaji..Na sidhani kama vifungu vyote kwenye katiba pendekezwa(bambikizwa) ni vibaya no.Kinachotufanya sisi kuikataa na kuwa hakuna mabadiliko kwenye vifungu ambavyo ndio hasa kiini cha matatizo yetu