UKAWA wapokea mabilioni ya pesa kutoka Ujerumani kuvuruga mchakato wa Katiba

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,570
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza

- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.

- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.

Source: Jambo Leo
 
Mkuu Thatha, hakika nchi hii inatafunwa na wengi. Hivi unajua mzee mamvi alienda nchi gani vile? Maana na yeye ni sehemu ya wafadhili wa ukawa
 
Tena nyingine zinapitia M-pesa kwenye akaunti ya J. Mbatia na Tigo-pesa kwenye akaunti ya NCCR-mageuzi!!

Haya yamesemwa na kundi la CCM YAWEWESEKA!!
 
Jambo leo ni gazeti la udaku wa siasa wala huwezi kuliamini hata kama ni ukweli.

Je,CCM nao wanapokea wapi pesa au wao ni kwa kupitia kumnyonya Mtanzania?
 
Kweli ccm bado wapo karne ya 20 kwenye propaganda, hiyo taasisi mnaweza mkawafanya serikali iwaombe msamaha serikali ya Ujerumani.
 
Bila shaka wafadhili hao watakuwa ni Conrad Adeneur. Wafadhili wakuu wa CDM
 
Jamaa wajinga sana kwani wao wanadhani siyo watanzania au kwa sababu wamejenga nyumba dubai na kwingineko mambo yakichafuka watakimbilia dubai hawanaakili kabisa.
 
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza. Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini. Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.

source:Jambo Leo
Kwani hiyo katiba ya CCM ilitakiwa ipite?
Hata hivyo nawashukuru wajerumani kwa kutusaidia vitendea kazi ili tuweze kupinga unyonyaji!
Kama wajerumani wananisikia tafadhali muwe mnadhamini fedha za ku-survive pale walimu, madokta wanapotaka kugoma ili kufatilia haki stahiki zao vile vile na sisi wafanya kazi wa sector binafsi nasi mtupatie fedha za ku-survive wakati tunagoma kuipigia kura ya ndio kwa katiba feki ya CCM.
God bless them who cares.
 
Kazi ilishaisha mkileta ujinga katiba ya zamani ndiyo itakayotumika tena bila maboresho yoyote.
 
Ina maana wewe unakubaliana na kinachoendele bungeni? Tuliwatuma watengeneze katiba yao au wapitie na kujadili rasimu ya katiba? Acheni kupotosha mambo. Katiba ni ya wananchi au ni ya watu wachache? Kama katiba ni yenu wachache endeleeni kuitengeneza lakini hamtafanikiwa. Isitoshe mlidandia hoja ya wenzenu kwani hii haikuwemo kwenye agenda zeni wakati wa uchaguzi.
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza

- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.

- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.

Source: Jambo Leo
 
Chadema wanapata msaada Ujerumani, Ukawa wanapata msaada Ujerumani, Ukawa wanalipwa laki saba sijui nne, na mengine meengi kutoka CCM tumeyasikia, sasa yanatufundisha nini? Watanzania hawajitambui kwa mawazo yao ni sawa, lakini sio kiihivi. Walitutangazia ugaidi kwa vyama vyote vya upinzani nchi hii, tunakumbuka ngangali na ngunguli na mapanga yao, tunakumbuka uislam wa CUF na ukristo wa Chadema, hivi hata kama watanzania ni wapumbavu wa kununuliwa T shet na kanga na shingi elfu tano ndio muwadharau hivi? Kazi hamfanyi kazi kuiba tu na kuficha nnje ya nchi kwa umasikini huu hata mkidanganya vipi nani hauoni unasikini? Nani haoni maisha magumu? Matibabu hakuna nani haoni? Elimu mbovu nani hajui? Hebu jaribuni kuangalia maisha ya Watanzania kwanza ndio muwe mnatuletea hizo kampeni zenu za kizushi kwa sasa maisha yametufunza kujua baya na zuri.
 
Kweli ccm bado wapo karne ya 20 kwenye propaganda, hiyo taasisi mnaweza mkawafanya serikali iwaombe msamaha serikali ya Ujerumani.

Tusubiri tuone , kama ni uongo Ujerumani si wataitaka Tanzania iombe msamaha, ikikaa kimya manake ni kweli
 
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza

- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.

- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.

Source: Jambo Leo

Hivi Jambo Leo linamilikiwa na nani? Maana ni kama vuvuzela la CCM cum Government!
 
Kwani hiyo katiba ya CCM ilitakiwa ipite?
Hata hivyo nawashukuru wajerumani kwa kutusaidia vitendea kazi ili tuweze kupinga unyonyaji!
Kama wajerumani wananisikia tafadhali muwe mnadhamini fedha za ku-survive pale walimu, madokta wanapotaka kugoma ili kufatilia haki stahiki zao vile vile na sisi wafanya kazi wa sector binafsi nasi mtupatie fedha za ku-survive wakati tunagoma kuipigia kura ya ndio kwa katiba feki ya CCM.
God bless them who cares.
Mkuu, wakishawafadhili, mtawalipa nini?
 
Serikali haijawahi kuomba msaada Ujerumani. Ni wahuni tu wale

Kwahiyo serikali na haijawahi kupata msaada kutoka ujerumani? Je,Unajua kuwa thread kama hii ilishawahi kuwepo kuwa cdm inafadhiliwa na nchi za magharibi kuleta vurugu?
 
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza

- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.

- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.

Source: Jambo Leo

Pasco aliwahi kutabiri hili. Dah! Limetokea kweli. Salute kwako mchumia choo Pasco
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom