Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ishu za magazeti ya udaku ziombwe msamaha na tz??....
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza
- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.
- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.
Source: Jambo Leo
Kuripotiwa kwenye vyombo vya havri ni hatua moja na kuchukua hatua za kisheria ni hatua nyingine tafakari uone kuwa ni hatua kwa hatua.Mimi nashindwa kuelewa,CCM ndo yenye Serikali,kwa nini isichukue hatua kama ni kweli?.Je,hawaoni kama ni kuonyesha kwamba serikali wanayoiongoza imeshindwa kutekeleza wajibu wake kama katiba inavyosema?!.Nawashauri ndugu zangu CCM,tafakarini kwanza athari za tamko mnalotaka kutoa kwa umma,kwa sababu mnaongeza chuki,na kutokueleweka zaidi.
Mimi nashindwa kuelewa,CCM ndo yenye Serikali,kwa nini isichukue hatua kama ni kweli?.Je,hawaoni kama ni kuonyesha kwamba serikali wanayoiongoza imeshindwa kutekeleza wajibu wake kama katiba inavyosema?!.Nawashauri ndugu zangu CCM,tafakarini kwanza athari za tamko mnalotaka kutoa kwa umma,kwa sababu mnaongeza chuki,na kutokueleweka zaidi.
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza
- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.
- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.
Source: Jambo Leo
Hivi jambo leo ni gazeti?, au ni kituo cha propaganda za ccm?,
Nchi hii tunavyombo vya usalama vizuri kwelikweli washindwe kubaini akaunti za uholanzi,na hapa nchini?
BOT kwa mujibu wa kanuni za kimataifa,fedha yeyote inayoingia nchini inataratibu zake,wao washindwe kuzijua, jambo leo wajue?
Haya,tuwekee hapa vielelezo ambavyo ikiwemo akaunti hizo na kiasi cha fedha hizo zilizoingia
Mwisho jambo leo waende mahakamani wakaweke vielelezo.jifunzeni propaganda si hizi zinazotishia uhai wa TISs na jeshi la polisi ambalo ndio kazi yake
ufadhili wa nje watataka rais atoke dispora nyinyi furahieni misaada kama hiyo.watanzania hivi kwa nini hatutaki kujifunza yaliyotoke afrika ya kaskazini.?
Songoro, Songoro Songoro, uwe na kumbukumbu kabla haujaandika!!!!! vinginevyo tutakuona unafanya mambo kishabiki, hapa JF hutakiwi kufanya mambo kishabiki, hebu kumbuka basi.Serikali haijawahi kuomba msaada Ujerumani. Ni wahuni tu wale
Serikali haijawahi kuomba msaada Ujerumani. Ni wahuni tu wale
Baba yakohv jambo leo anamiliki ms.enge gani?
Songoro, Songoro Songoro, uwe na kumbukumbu kabla haujaandika!!!!! vinginevyo tutakuona unafanya mambo kishabiki, hapa JF hutakiwi kufanya mambo kishabiki, hebu kumbuka basi.
Unaikumbuka ile ziara ya Wabunge wa Ujerumani na maswali yao kuhusu misaada balimbali waliyoitoa kwa Tanzania? ikiwa n i pamoja na kwanini hampigi hatua za kimaendeleo wakati mmepokea fedha nyingi sana za msaada kutoka Ujerumani ambazo zingekuwa zimebadili maisha ya Watanzania? Je, unakumbuka majibu ya Mhe.Membe? TAFAKARI ACHA USHABIKI