Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hilo ni swali muhimu sana. Ila kifupi ni kwamba, Ujerumani wanatamani sana wawe na ushawishi kwenye siasa za Tanzania. Ndani ya CCM inakuwa ngumu wao kujipenyeza. Kwa hali hiyo, wanawekeza kwenye vyama vya upinzani ili vifikie hatua ya kutwaa madaraka. Hiyo hawafanyi Tanzania tu bali nchi zote za AfrikaHao wajerumani wanafaidi nini?
Mkuu, thatha ameripoti kilichoandikwa kwenye vyombo vya habari
Shida ni kwamba mihela hiyo wanayopewa UKAWA inatumika kuvuruga mchakato wa katiba nchini na pia inavuruga amanishda iko wapi kama inchi yako tu inapewa mihela mingi toka inchi mbalimbali kama vile china marekani ujeruman nk
Mkuu, yapo magazeti kadhaa yameripoti habari hiyo. Nitaweka humu nikipata hakika yakeMkuu Lizaboni nadhani ni chombo cha habari na si vyombo vya habari maana nahisi hata gazeti letu la chama Uhuru, habari hiyo hamna.
Baba yako yule wa kawe pale bondeni ambao kila siku nasikia watu wanakabwa.hv jambo leo anamiliki ms.enge gani?
Kazi ilishaisha mkileta ujinga katiba ya zamani ndiyo itakayotumika tena bila maboresho yoyote.
Wewe unavyofikiri kwa ukawa walivyodinda, serikali kupitia usalama wa Taifa wangekubali hiko kitu ambacho kinaweka usalama wa nchi mashakani.Naomba tufikirie tuweke u vyama pembeni tuone kama hili swala kama linaweza kuwa kweli kwa kutumia akili zetu tulizoletwa nazo duniani.
Ni kweli mkuu halafu waafrika watu wa ajabu sana sijui wataacha lini kutumiwa na wazungu wenzetu libwa wamechonganishwa na wazungu sasa hali si shwari tena wanachapana kila kukicha.Mkuu, hilo ni swali muhimu sana. Ila kifupi ni kwamba, Ujerumani wanatamani sana wawe na ushawishi kwenye siasa za Tanzania. Ndani ya CCM inakuwa ngumu wao kujipenyeza. Kwa hali hiyo, wanawekeza kwenye vyama vya upinzani ili vifikie hatua ya kutwaa madaraka. Hiyo hawafanyi Tanzania tu bali nchi zote za Afrika
Baba yako yule wa kawe pale bondeni ambao kila siku nasikia watu wanakabwa.
Kwani Tanzania ndiyo iliyosema ujinga huo? Ujinga usemwe na CCM na mawakala wake wewe unaisingizia Tanzania? Kwa taarifa yako chama chenu sio nchi bali ni kundi la watu wanaoiangamiza nchi.
habari za kijinga kwa watu wajinga...magazeti kama jambo leo,tazama hazihaminiki na wanaandika uzushi tu zenye lengo la kunufaisha kundi.na hii ni dalili ya kutapatapamadai hao yametolewa na kundi la tanzania kwanza
- wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko uholanzi kuingia nchini.
- inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za katibu mkuu wa chadema, wilbroad slaa, mwenyekiti wa cuf, ibrahim harouna lipumba na mwenyekiti wa chadema, freeman aikaeli mbowe.
Source: Jambo leo
Sasa umedhihirisha kweli wewe mtu viroba, watu tunataka kulinusu taifa kutoka kwa vibaraka wa wazungu wanaojiita UKAWA wewe unaleta bla bla zako. Inaonekana hauko serious wewe
Unajidanganya bure kudhani nchi hii ni mali ya magamba,subirini dawa iwaingie vizuri ndo mtakapopata akili baada ya sembe kuwavuruga
Sasa wewe kitasa hapa ccm wameingiaje hoja iliyopo hapa ni ukawa kuhongwa na wajerumani tarifa hii iko kwenye vyomno vingi vya habari sijui ukawa wanaingiaje sasa.Ninapoangalia propaganda za kizamani kama hizi nashindwa kujua tatizo huko ccm ni vijana sna wazee. Kama ni wazee mbona vijana hawawakanyi wazee wao kwamba hizi propaganda ni za kizee. Hii haina tofauti na zile propaganda enzi za mwanzo wa vyama vingi kuonyesha sinema za vita huku wakisema wapinzani wataleta vita. Na ile nyingine ya kipuuzi kule igunga kuchoma banda likateketea lakini ikaokotwa karatasi inayoonyesha imeandikwa na cdm! Nadhani tatizo kubwa ni kwa vijana kwani nao wanawaza kama wazee wao vinginevyo wangewaambia wazee siku ni zama za digital watu wanauelewa mpana.
Linamilikiwa na nani siyo issue, issue ni limeandika habari gani muhimu. Hii taarifa imenigusa sana nimeona nitangulize uzalendo mbele. Kumbe kelele zote za UKAWA kuna weupe wako nyuma yao, hili haliwezi kuvumilika kabisa