ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Mkuu, yapo magazeti kadhaa yameripoti habari hiyo. Nitaweka humu nikipata hakika yake
Ok mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, yapo magazeti kadhaa yameripoti habari hiyo. Nitaweka humu nikipata hakika yake
Mbona China wamemfadhili Kikwete kwa kutomchinja RiZ 1 kwa kuuza mapoudaaa, Tanzania imewalipa nini china
Ulisema uko kundi hili eeeeeeeeee!Mkuu Makonda yale matusi ya kupokea laki 4.5 yanatofautiana na ya leo?
Unajidanganya bure kudhani nchi hii ni mali ya magamba,subirini dawa iwaingie vizuri ndo mtakapopata akili baada ya sembe kuwavuruga
Mkuu kwa hiyo wewe kwa akili zako ulizoletwa nazo duniani unawaamini UKAWA wako peke yao?
Sasa wewe unajua nini au kuhongwa na wajerumani ndiyo ujanja watu wengine hasara kabisa kwenye taifa hili pole sana bavicha.Ooooooooh kweli wewe ni debe tupu, umejipambanua kabisa kuwa uwezo wako wa kupambanua mambo haya ni mdogo sana aiseee!!!!.
Rudi kwenye maada kwa nini mnahongwa kuvuruga nchi yetu nyie vibaraka weusi msiojitambua?Ujeruma wanafadhiri kikwete nae anataka aanzishe mazungumzo nao tena. Kweli ukawa itawapa mimba mwaka huu
Ujeruma wanafadhiri kikwete nae anataka aanzishe mazungumzo nao tena. Kweli ukawa itawapa mimba mwaka huu
Housejizo...kama ilishaisha why wasting you times kwenye bunge la katiba si msaini tu hela kwa siku zilizobakia mkashibe na ndugu zenu kama mlivyozoea? nothing is new kwa watanzania jinsi mnavyotunyonya....everything has its beginning, so is its end!Kazi ilishaisha mkileta ujinga katiba ya zamani ndiyo itakayotumika tena bila maboresho yoyote.
CCM ni kama watoto wanaojipikilisha,at the time wanataka suluhu na UKAWA,na matusi juu!ivi kuna matusi mageni zaidi ya yale mliotukana wakati sura ya 1 na 6 zinajadiliwa?
Ujeruma wanafadhiri kikwete nae anataka aanzishe mazungumzo nao tena. Kweli ukawa itawapa mimba mwaka huu
Jambo leo ni gazeti la udaku wa siasa wala huwezi kuliamini hata kama ni ukweli.
Je,CCM nao wanapokea wapi pesa au wao ni kwa kupitia kumnyonya Mtanzania?
Sasa umedhihirisha kweli wewe mtu viroba, watu tunataka kulinusu taifa kutoka kwa vibaraka wa wazungu wanaojiita UKAWA wewe unaleta bla bla zako. Inaonekana hauko serious wewe
Hamchelewi kuwafafanya rais na mawaziri wenu kuomba msamaha,kwa habari zenu za kipuuzi kama hivi
Jamaa wajinga sana kwani wao wanadhani siyo watanzania au kwa sababu wamejenga nyumba dubai na kwingineko mambo yakichafuka watakimbilia dubai hawanaakili kabisa.