Kwani hiyo katiba ya CCM ilitakiwa ipite?Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza. Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini. Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.
source:Jambo Leo
Serikali haijawahi kuomba msaada Ujerumani. Ni wahuni tu waleKweli ccm bado wapo karne ya 20 kwenye propaganda, hiyo taasisi mnaweza mkawafanya serikali iwaombe msamaha serikali ya Ujerumani.
Lazima ni hao hao tu hakuna wengine ila aibu itawakuta hii nchi haikujengwa kwa siku moja.Bila shaka wafadhili hao watakuwa ni Conrad Adeneur. Wafadhili wakuu wa CDM
Kazi ilishaisha mkileta ujinga katiba ya zamani ndiyo itakayotumika tena bila maboresho yoyote.Kwani hiyo katiba ya CCM ilitakiwa ipite?
Hata hivyo nawashukuru wajerumani kwa kutusaidia vitendea kazi ili tuweze kupinga unyonyaji!
Kama wajerumani wananisikia tafadhali muwe mnadhamini fedha za ku-survive pale walimu, madokta wanapotaka kugoma ili kufatilia haki stahiki zao vile vile na sisi wafanya kazi wa sector binafsi nasi mtupatie fedha za ku-survive wakati tunagoma kuipigia kura ya ndio kwa katiba feki ya CCM.
God bless them who cares.
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza
- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.
- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.
Source: Jambo Leo
Kweli ccm bado wapo karne ya 20 kwenye propaganda, hiyo taasisi mnaweza mkawafanya serikali iwaombe msamaha serikali ya Ujerumani.
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza
- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.
- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.
Source: Jambo Leo
Mkuu, wakishawafadhili, mtawalipa nini?Kwani hiyo katiba ya CCM ilitakiwa ipite?
Hata hivyo nawashukuru wajerumani kwa kutusaidia vitendea kazi ili tuweze kupinga unyonyaji!
Kama wajerumani wananisikia tafadhali muwe mnadhamini fedha za ku-survive pale walimu, madokta wanapotaka kugoma ili kufatilia haki stahiki zao vile vile na sisi wafanya kazi wa sector binafsi nasi mtupatie fedha za ku-survive wakati tunagoma kuipigia kura ya ndio kwa katiba feki ya CCM.
God bless them who cares.
Serikali haijawahi kuomba msaada Ujerumani. Ni wahuni tu wale