Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Ukisoma kwa undani utaona kuwa kijana huyu anahoja tena zenye maana sana kwa mtu ambaye hajatawaliwa na siasa za kishabiki ataziona tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda atawasumbua sana kwenye siasa za taifa hili dogo anahoja sana.
Ukisoma kwa undani utaona kuwa kijana huyu anahoja tena zenye maana sana kwa mtu ambaye hajatawaliwa na siasa za kishabiki ataziona tu.
Ha! Huo umburula wa hali ya juu kweli unataka nianze kufanya uchambuzi tena we vipi uko nchi gani mkuu acha utoto wako yani kusoma huwezi mpaka usomewe.sasa wewe kama umezisoma si uziweke pengine hao unaosema wanaleta ushabiki watazisoma?
Mkuu acha kubabaisha watu wewe umeandika nini sasa ni sawa na zero kabisa makonda kaweka andiko lenye mashiko na hoja ndani yake wewe na ubavicha wako unaleta porojo.Makonda, kwa ulichokiandika hapa wewe umejidhihiridha kuwa ni BUFFOON. Hebu tuambie, unadhani Watanzania wote wasioiunga mkono ccm hawana uwezo wa kufikiri? Unaishi dunia gani wewe? Unaleta rhetoric za kukaririshwa za enzi ya cold war???
Kwa taarifa yako Tanzania hiyo ya kikwete inafananishwa na Tripolitania!
kijan acha dharau wewe fikiria warioba na wajumbe wa tume wameifanyia mambo mangapi nchi hii ukijilinganisha na wewe
Hawa wanaojiita ukawa wanafanya haya kwa manufaa yao na familia zao siyo kwa manufaa ya wananchi hata kidogo waongo wakubwa.
Makonda, kwa ulichokiandika hapa wewe umejidhihiridha kuwa ni BUFFOON. Hebu tuambie, unadhani Watanzania wote wasioiunga mkono ccm hawana uwezo wa kufikiri? Unaishi dunia gani wewe? Unaleta rhetoric za kukaririshwa za enzi ya cold war???
Kwa taarifa yako Tanzania hiyo ya kikwete inafananishwa na Tripolitania!
Chama Cha Mapinduzi kinabaki Imara na Msimamo thabiti wa Kuendelea na Jamhuri Muungano wa nchi mbili na Serikali Mbili. Azimio la kutaka serikali tatu si mara ya kwanza sasa. Azimio kama hili lilikuwepo Mwaka 1993 kwa hoja Binafsi ya Wabunge 55 (G55) iliyopelekwa na Mh. Njelu Kasaka Mbunge wa Chunya. Kwa kikao Cha Bunge cha August 24-27, Bunge liliridhia mchakato wa kuanzisha serikali ya Tanganyika.
Ewe Mtanzania Mwenzangu, Shtuka, Achana na BAPHOON.
Mungu Ibariki Tanzania
Paul C. Makonda
Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM
Mjumbe Bunge Maalum la Katiba
0716696265