UKAWA Wapuuzwe!

UKAWA Wapuuzwe!

Ukisoma kwa undani utaona kuwa kijana huyu anahoja tena zenye maana sana kwa mtu ambaye hajatawaliwa na siasa za kishabiki ataziona tu.
 
Ukisoma kwa undani utaona kuwa kijana huyu anahoja tena zenye maana sana kwa mtu ambaye hajatawaliwa na siasa za kishabiki ataziona tu.

sasa wewe kama umezisoma si uziweke pengine hao unaosema wanaleta ushabiki watazisoma?
 
Hivi kama ukawa wanalipwa na Mataifa ya Nje nyie mlieko na dola mko kimya tu?
Pale LOLIONDO MMEPAKABIDHI KWA MTOTO WA SULTANI TWIGA WANAISHA, WANANCHI HAWARUHUSIWI KUFIKA, WANA UWANJA WA NDEGE AMBAO WANARUKA BILA WASIWASI LEO MMESAHAU? Wengine walihongwa suti na waarabu ila ilikuwa sawa jitafakarini la sivyo mlete USHAHIDI WA HAYO MATAIFA YANAYOWATUMIA WAPINZANI KAMA KUNA UKWELI SIO MNAISHIA KUSEMA TU MATAIFA.
 
Sasa ni zamu ya Tanganyika kuwa na serikali halafu zanzibar nao waue ya kwao ili ziwe 2 si ndo muungano huo haki bin haki kama ni ngumu basi Moja au Tatu.
 
Makonda, kwa ulichokiandika hapa wewe umejidhihiridha kuwa ni BUFFOON. Hebu tuambie, unadhani Watanzania wote wasioiunga mkono ccm hawana uwezo wa kufikiri? Unaishi dunia gani wewe? Unaleta rhetoric za kukaririshwa za enzi ya cold war???
Kwa taarifa yako Tanzania hiyo ya kikwete inafananishwa na Tripolitania!
 
Hawa wanaojiita ukawa wanafanya haya kwa manufaa yao na familia zao siyo kwa manufaa ya wananchi hata kidogo waongo wakubwa.
 
sasa wewe kama umezisoma si uziweke pengine hao unaosema wanaleta ushabiki watazisoma?
Ha! Huo umburula wa hali ya juu kweli unataka nianze kufanya uchambuzi tena we vipi uko nchi gani mkuu acha utoto wako yani kusoma huwezi mpaka usomewe.
 
Makonda, kwa ulichokiandika hapa wewe umejidhihiridha kuwa ni BUFFOON. Hebu tuambie, unadhani Watanzania wote wasioiunga mkono ccm hawana uwezo wa kufikiri? Unaishi dunia gani wewe? Unaleta rhetoric za kukaririshwa za enzi ya cold war???
Kwa taarifa yako Tanzania hiyo ya kikwete inafananishwa na Tripolitania!
Mkuu acha kubabaisha watu wewe umeandika nini sasa ni sawa na zero kabisa makonda kaweka andiko lenye mashiko na hoja ndani yake wewe na ubavicha wako unaleta porojo.
 
kijan acha dharau wewe fikiria warioba na wajumbe wa tume wameifanyia mambo mangapi nchi hii ukijilinganisha na wewe

Tatizo siyo compatison ya Makonda na Warioba. Najua hata yeye anajua hawezi kuingia hata 1/100 ya Warioba. Nadhani tatizo ni kuwa Makonda anawaza ki-CCM zaidi. Kwamba wazee wote wanasubiria kufa hivyo wakae kimya (kama alivyosema Katibu wao Mwenezi) Kwa hiyo nafikiri yeye Makonda anafikiri kwa sasa ni muda wake na yeye, kwa kuwa hasubiri kufa, kupiga kele tu ili aonekane. (kama alivyofanya Nape) Si mmeona imempa ajira hata kama ni ya ovyo?

Kitu kimoja ambacho Makonda hajajua ni kuwa Tanzanians are fed up na upuuzi wa CCM. Na kuonyesha kuwa yeye ni zao la CCM kweli, amekuja na lugha zile zile za kjinga za wabunge wa CCM. Tumechoka matusi. Tunataka Hoja.
 
We subili posho tu na kutumika!!!

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Hawa wanaojiita ukawa wanafanya haya kwa manufaa yao na familia zao siyo kwa manufaa ya wananchi hata kidogo waongo wakubwa.

Kwamba leo CCM ina uchungu na wananchi? I don't think so.

Halafu utashangaa pale watu wanaojidai wakweli, wakongwe, na watetezi wa wanyonge wanapoishiwa hata hoja za kujieleza mbele ya wabunge wenzao na wananchi! I thinks is just about time you people consider taking a break and see how its done.
 
Wanalipwa kutoka nje na mataifa,TISS iwashughulikie Mkuu. Mapato yao na vyanzo vya fedha chafu mwavijua? Kwanini Serikali isiwashughulikie...
Mnajua wanatumika..then mnawalea...wengine mpaka nawaona kwenye uzinduzi wa sherehe za Muungano, sijui mwawaogopea nn? AU KWA SABABU HAKUNA ALIYE MSAFI KATI YENU!
 
Makonda, kwa ulichokiandika hapa wewe umejidhihiridha kuwa ni BUFFOON. Hebu tuambie, unadhani Watanzania wote wasioiunga mkono ccm hawana uwezo wa kufikiri? Unaishi dunia gani wewe? Unaleta rhetoric za kukaririshwa za enzi ya cold war???
Kwa taarifa yako Tanzania hiyo ya kikwete inafananishwa na Tripolitania!

Haka kajamaa Makonda kanaelekea kanapakatwa vizuri. Na hivi kazuri zuri lol. Hakaijui historia ya nchi hii. By the way who cares about union ya tanganyika na zanzibar. Eti lulu? Muungano usiokuwa na faida kiuchumi ni useless
 
Chama Cha Mapinduzi kinabaki Imara na Msimamo thabiti wa Kuendelea na Jamhuri Muungano wa nchi mbili na Serikali Mbili. Azimio la kutaka serikali tatu si mara ya kwanza sasa. Azimio kama hili lilikuwepo Mwaka 1993 kwa hoja Binafsi ya Wabunge 55 (G55) iliyopelekwa na Mh. Njelu Kasaka Mbunge wa Chunya. Kwa kikao Cha Bunge cha August 24-27, Bunge liliridhia mchakato wa kuanzisha serikali ya Tanganyika.

Ewe Mtanzania Mwenzangu, Shtuka, Achana na BAPHOON.

Mungu Ibariki Tanzania
Paul C. Makonda
Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM
Mjumbe Bunge Maalum la Katiba

0716696265

Hivi hawa G55 walikuwa CUF? au CHADEMA? Je unaweza kutuambia wakati huo walitumwa na nani?

Ila nakukumbusha Daima Ukweli hauwezi kushindwa!
Na kama kawa walio zoea kuishi kwa uongo, hawawezi kuishi kwa Ukweli.
 
Wewe zezeta, Tundu Lissu kwao sio Iramba. EL lazima akutoe roho kwa tamaa za kifisi....kumbuka ulimlisemea mbovu na yy hachezewi.
 
Back
Top Bottom