Uke kuwa mkavu kwenye tendo

Walisema ana tatizo gani? Wadau wanasema demu hana hisia na mimi, au niachane nae?
Huyu wangu shida yake ilikuwa birth control pills na kutokuwa hydrated mara kwa mara..... Tulizunguka kwa wataalam tukashauriwa tutumie njia nyingine ya uzazi wa mpango (tuachane na pills) pia na awe anakunywa maji mengi sana (alikuwaga mvivu wa maji sijapata ona)

Baada ya mda tukaanza ona mabadiliko, saiv hata nikimshika tu shingo chupi inaloa walawala 😁
 
Uzaz wa mpango ni sumu sana kwetu wanawake ila watu hawajui madhara ni makubwa kwenye miili yetu
 
Huyu hata kumwaga kwa ndani simwagagi ataanzaje kutumia pills? Au hana hisia na mimi?
 
Huna mate?Acha usumbufu mkuu.Bado natafakari Chasambi alipatwaje na kichaa cha kuachia shuti kali kama lile halafu wewe unaanzisha yako.
 
Uzaz wa mpango ni sumu sana kwetu wanawake ila watu hawajui madhara ni makubwa kwenye miili yetu
Kabisa, hasa hasa huu wa pills na sindano.... sio mzuri kabisa, unaaffect hormones na kupelekea changamoto kama hizo za uke mkavu, mood swings, kunenepa hovyo n.k

Nashukuru nililielewa hilo na nikamtoa mamaa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…