sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Imeshaandikwa katika vitabu vitakatifu mwanaume anaweza kuwa mpaka na wake wanne kwa mpigo, maana kwa jinsi mwanaume alivyoumbwa kaumbwa kuweza hili. (hata kwenye Biblia kuna manabii wengi sana walikuwa na wake wengi)
Sababu za kuomgeza mke inaweza kuwa mke wako ni tasa na mmejaribu sana ila imeshindikana, mke wako kukunyima unyumba kwa maksudi kwa kipindi kirefu, mke kuwa mbali na wewe mda mrefu mfano kahama mkoa kikazi, n.k
Sasa unakuta unataka kuongeza mke ila mke wako anachukia, hii ni kufru.
Ni adhabu zipi zinamstahili?
Pongezi kwa Masoud Kipanya kuongeza mke wa nne mbichi mdogo.