Uke wenza: Ni adhabu ipi inamstahili mwanamke anayechukia ama kujaribu kukwamisha mpango wa mume wake kuongeza mke mwengine?

Imeshaandikwa katika vitabu vitakatifu mwanaume anaweza kuwa mpaka na wake wanne kwa mpigo, maana kwa jinsi mwanaume alivyoumbwa kaumbwa kuweza hili. (hata kwenye biblia kuna manabii wengi sana walikuwa na wake wengi)

Sababu za kuomgeza mke inaweza kuwa mke wako ni tasa na mmejaribu sana ila imeshindikana, mke wako kukunyima unyumba kwa maksudi kwa kipindi kirefu, mke kuwa mbali na wewe mda mrefu mfano kahama mkoa kikazi, n.k

Sasa unakuta unataka kuongeza mke ila mke wako anachukia, hii ni kufru.

Ni adhabu zipi zinamstahili?

Pongezi kwa Masoud Kipanya kuongeza mke wa nne mbichi mdogo
NJOGA WAJE WANAOFAHAMU.
 
Wanawake nao wapewe haki ya kuolewa na waume wawili
Hakuna andiko lolote takatifu limeruhusu huu upuuzi, Ni mwanaume alieumbiwa mwanamke kuwa msaidizi wake kwahio mwanaume akapewa kibali cha kuoa hadi wake wanne.
 
Kwa iyo ukifanya mapenzi nje ya ndoa kisa umemtamani mwanamke aje kua mkeo mbel ya safari si dhambi?
kumpenda mwanamke kwa.lengo la kuoa hakuhusiani na kufanya mapenzi nje ya ndoa, ukimpenda mwanamke, utamuoa, ndipo mtapofanya mapenzi.

Ama huko upande mwengine ni sharti kufanya mapenzi nje ya ndoa kabla ya kuoa ??
 
Je ukitembea naye kabla ya kuoa. Fahamu ni kosa kumtamani mwanamke. Kumpenda kunaanza na matamanio. Matamanio yanazaa mapenzi au ngono.

Hakuna dhambi ukilala na huyo mwanamke kabla hajawa mke wa pili, tatu na nne
 
Ukilala na mwanamke kabla ya kumuoa ni dhambi bila kujali dini.

Hata ukitaka kuongeza mke wa nne, oa kwanza, game utapewa baada ya ndoa.

Hivi kwa wakristo ikitokea mke wako anakunyima game miaka miwili kuna mbadala gani hapo ?
 
Jibu langu ushajibu ni dhambi. Basi watu wanafanya dhambi. Dhambi ikiwanogea wanaona wafanye awe mke
 
Wanawake nao wapewe haki ya kuolewa na waume wawili ujue wanaume tunapendaga kujiona wafalme sana ww unataka wake wawili ad wanne kisa uliziki na mkeo au sheria za dini zinakuruusu sasa je km mwanamke aliziki na mume wake afanyeje ?

Nazan ni muda sasa dini na desturi ziangaliwe upya wanawake nao wapewe machaguzi km yawanaume af ndo tutajua inauma kias gan kushare Mke /mume na ndo mtajua why wanawake wengne hawapend waume zao waoe wake zaid ya mmoja japo dini zao ninaruhusu
Uko serious au unanohesha genge tu?

Hii ishu sio sababu ya dini au tamaduni, kimaisha na kimaumbile mwanamke hawezi kuolewa na mme zaidi ya mmoja.

KIMAISHA; Mwanamke ni msaidizi, hivyo yuko chini ya mume. Mostly atatii maagizo. Kama ameolewa na wanaume wawili, ikatokea mmoja anataka yenye nywele, mwingine anataka iliyonyolewa, huyu mwanamke atafanyaje?.

KIMAUMBILE; Huyu mwanamke akipata mimba, baba wa mtoto atakuwa ni yupi?
 
Ukilala na mwanamke kabla ya kumuoa ni dhambi bila kujali dini.

Hata ukitaka kuongeza mke wa nne, oa kwanza, game utapewa baada ya ndoa.

Hivi kwa wakristo ikitokea mke wako anakunyima game miaka miwili kuna mbadala gani hapo ?
Ukristo umefeli sana kwenye suala la ndoa.

Sheria za ndoa ya kikristo ni za kishamba na za hovyo sana.
Mfano; Kuweka sheria kwamba hakuna kuachana hadi mmoja afe, maana yake ni kwamba nikishamchoka mwenza wangu na nimepata mwingine ambaye tumependana sana, tutafanya mipango ili huyu afe sisi tuoane, maana ndiyo njia pekee.

Wakristo kuweka sheria hiyo, wanahamasisha mauaji ya wanandoa.
 
wanasemaga ukioa ndio utamjua vizuri mwanamke

Yani hapo ukioa ndio utayajua makucha aliyoficha.

huku uislam hawezi kuwa na jeuri hio maana anajua atapandishwa cheo awe mke mkubwa
 
Yaani ndivyo ilivyo mkuu.
Kwenye ukristo mwanamke anajua kabisa huna cha kufanya, noma sana hiyo.
 
Back
Top Bottom