Ukiacha CCM ambao ndio wanaratibu dosari za daftari la kuandikisha wapiga kura, vyama vingine havioni dosari hizo?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nlitegemea kuwe na nguvu moja kupinga madudu yanayoendelea katika daftari la kuandikisha wapiga kura katika chaguzi zijazo. Je Vyama hivi havioni mapungufu/maovu/madudu/wizi unaofanyika katika daftari la wapiga kura ?

Mbona wamekaa kimya? What logical deductions can be made from such silence?

NIMEIONDOA CHADEMA MAANA NDIO PEKEE WANAOPAMBANA NA UDHALIMU HUU
  1. Civic United Front (CUF)
  2. Tanzania Labour party
  3. National Convention for Constitution and Reconstruction-Mageuzi (NCCR-Mageuzi),
  4. National League of Democracy (NLD)
  5. Democratic Party (DP)
  6. Demokrasia Makini
  7. Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo)
  8. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
 
Hata

Hata hao Chadema ni njaa TU hamna kitu.
 
Kuna uhuni unaendelea hakuna mashine za kutoa vitambulisho wanaandika kwenye kikaratasi hivi dunia ya leo ya teknolojia bado uhuni huu kweli?
 
Back
Top Bottom