Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Bila picha huu uzi ni fitna upuuzwe ππNo pics
Tatizo wanapenda sana ulozi.Bro wangu mmoja aliibua pisi moja ya Kirangi akawa anaila duh! Utafikiri imedondoshwa kutoka mbinguni yaani. Kasoro tu ilikuwa na miguu myembamba. Mengine sitayataja maana bro alipoenda kozi ya miezi mitatu ikataka kunigeuzia kibao mimi. Ilihitajika nguvu ya ziada kukishinda kishawishi kile![emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Pia ni wazuri kitandani.Wasalaam JF,
Kwenye ukweli tuseme kweli tuache mazoea ya kubisha bisha. Wambulu, wamang'ati, Wanyaturu, Wachaga, Wameru, wamasai wameachwa mbali na warangi kwa uzuri, wana rangi, wanashepu, wanatrackoo, wako soft, wanakwanguliwa kisimilo chote hakibaki hata chembe.
Ni hayo ukibisha ni wewe tu
Wadiz
Atuwekee picha aiseeBila picha huu uzi ni fitna upuuzwe ππ
Jamani πππ€hamna kitu humo wachawi na wabaguzi sana alafu wamedumaa na kukakamaa kama nyama iliyolala nje
NakaziaPicha iko wapi sasa?? Huendaa na sie wengine tukawa tunafanana na Warangii afu hatujijuii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alete pichaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia
Picha muhimu,,huenda na sisi tunafananao ila hatujui tuπππAlete pichaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sasa yaan, aletee picha tuonee.Picha muhimu,,huenda na sisi tunafananao ila hatujui tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitumie pic yako nihakiki, Warangi nawajua.Picha muhimu,,huenda na sisi tunafananao ila hatujui tuπππ
Kwakweli π€£π€£πHapo sasa yaan, aletee picha tuonee.
hahahπ€£π€£π€£π€Nitumie pic yako nihakiki, Warangi nawajua.