Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Halafu wana huruma kupitiliza neno NO halipo kwenye kamusi yao ujue kabisa. Usije jinyonga.Wasalaam JF,
Kwenye ukweli tuseme kweli tuache mazoea ya kubisha bisha. Wambulu, wamang'ati, Wanyaturu, Wachaga, Wameru, wamasai wameachwa mbali na warangi kwa uzuri, wana rangi, wanashepu, wanatrackoo, wako soft, wanakwanguliwa kisimilo chote hakibaki hata chembe.
Ni hayo ukibisha ni wewe tu
Wadiz