Ukiacha kasoro ya Uchawi Wanawake wa Kirangi ni wazuri kuwazidi wa makabila mengine yote hapa Tanzania.

Mm mm mungu Anakuona kwa uliyoyasema juu ya hawa dada zetu sifa zao
 
Picha iko wapi sasa?? Huendaa na sie wengine tukawa tunafanana na Warangii afu hatujijuii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!
 
Mimi ni Msukuma na kwenye hii ishu ya weupe huniambii kitu [emoji16][emoji16][emoji16]

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Chukua Mwanamke yeyote.
Mhudumie
Apake mafuta mazuri
Aoge atakate
Ale chakula kizuri.
Mvalishe vizuri.
Usimpe Stress alafu uje hapa ufute Kauli.

Wabongo wengi umaskini imewafanya wafubae. Ila siku wakipata Pesa na Maisha mazuri utawashangaa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…