joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwa heshima kubwa sana wana jamii, ninaomba kuuliza, hiki wanachofanya hawa wakenya kimekaaje?, Mimi ni Mara ya kwanza kuona na kusikia.
Hivi tatizo la Kenya ni nini?, yaani kila ninavyozidi kuijua hii nchi, ndio ninazidi kuchanganyikiwa. Nimekaa sana Soweto na Township za Cape Town kule South Africa, lakini ni tofauti sana na slums za Nairobi. Tatizo ni nini?
Ukistaajabu ya Musa utaona ya....Nikajua nimeona kila kitu kumbe najidanganya [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hii kitu imeniharibia siku yangu mzima, nimetapika ndizi zangu zote nilizokula asubuhi, ninajuta kutazama hii kitu, uwiiiiiiiiiii.Horrific disgusting, what the hell I just viewed [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33] wtf is going on here
Ukistaajabu ya Musa utaona ya....
Tena hicho kinyesi ni "live" hakijawekewa dawa yoyote, eti wanadai " gloves" zinawachoma, " really?".People are carrying shit with bare hands [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji114][emoji114][emoji114] oooooooh fvck
Horrific catastrophic horrible, sijawahi ona hii toka nizaliwe, nimetapikaaa wtf π±π±π±π±π±π±π±π±π±π±Yaani hii kitu imeniharibia siku yangu mzima, nimetapika ndizi zangu zote nilizokula asubuhi, ninajuta kutazama hii kitu, uwiiiiiiiiiii.
Yaani hii kitu imeniharibia siku yangu mzima, nimetapika ndizi zangu zote nilizokula asubuhi, ninajuta kutazama hii kitu, uwiiiiiiiiiii.
Dah! Aise kitu fresh kabisa yani dah! Ila kuna watu wana moyo kichizi aisee π±π±π±π±π±π±Tena hicho kinyesi ni "live" hakijawekewa dawa yoyote, eti wanadai " gloves" zinawachoma, " really?".
Uhuru wa habari wauonaje...ni raha si raha
Yaani Mimi pamoja na kuwa na umri mkubwa sasa hivi, sijawahi kusikia kama kuna jambo kama hili linaweza kufanyika duniani, hapa nilipo ninatetemeka kama mwenye homa kali.Dah! Aise kitu fresh kabisa yani dah! Ila kuna watu wana moyo kichizi aisee [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
Sio Tanzania tu, nimeuliza kama kuna nchi yoyote hapa duniani jambo kama hili linatokea tufahamishane, au Uhuru wa habari upo Kenya pekee?Unafikiri Tanzania kuna uchafu kama huo
Sio Tanzania tu, nimeuliza kama kuna nchi yoyote hapa duniani jambo kama hili linatokea tufahamishane, au Uhuru wa habari upo Kenya pekee?
Check video vizuri, pia hicho kinyesi kilichochanganywa na sawdust wanakitumia kama mbolea kwenye kukuzia vyakula na mboga mboga π±π±π±Alafu mbona wanaenda kumwaga kwenye Nairobi river [emoji15][emoji15][emoji15]
Unafikiri Tanzania kuna uchafu kama huo