joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwa heshima kubwa sana wana jamii, ninaomba kuuliza, hiki wanachofanya hawa wakenya kimekaaje?, Mimi ni Mara ya kwanza kuona na kusikia.
Hivi tatizo la Kenya ni nini?, yaani kila ninavyozidi kuijua hii nchi, ndio ninazidi kuchanganyikiwa. Nimekaa sana Soweto na Township za Cape Town kule South Africa, lakini ni tofauti sana na slums za Nairobi. Tatizo ni nini?