Ukiacha Kenya, hii kitu hufanyika wapi hapa duniani?

Ukiacha Kenya, hii kitu hufanyika wapi hapa duniani?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Kwa heshima kubwa sana wana jamii, ninaomba kuuliza, hiki wanachofanya hawa wakenya kimekaaje?, Mimi ni Mara ya kwanza kuona na kusikia.

Hivi tatizo la Kenya ni nini?, yaani kila ninavyozidi kuijua hii nchi, ndio ninazidi kuchanganyikiwa. Nimekaa sana Soweto na Township za Cape Town kule South Africa, lakini ni tofauti sana na slums za Nairobi. Tatizo ni nini?
 
Failed state [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh asee tunashukuru sana kwa internet kutufungulia dunia.

Kwa heshima kubwa sana wana jamii, ninaomba kuuliza, hiki wanachofanya hawa wakenya kimekaaje?, Mimi ni Mara ya kwanza kuona na kusikia.

Hivi tatizo la Kenya ni nini?, yaani kila ninavyozidi kuijua hii nchi, ndio ninazidi kuchanganyikiwa. Nimekaa sana Soweto na Township za Cape Town kule South Africa, lakini ni tofauti sana na slums za Nairobi. Tatizo ni nini?
 
Horrific disgusting, what the hell I just viewed [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33] wtf is going on here
Yaani hii kitu imeniharibia siku yangu mzima, nimetapika ndizi zangu zote nilizokula asubuhi, ninajuta kutazama hii kitu, uwiiiiiiiiiii.
 
Alafu mbona wanaenda kumwaga kwenye Nairobi river [emoji15][emoji15][emoji15]
 
People are carrying shit with bare hands [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji114][emoji114][emoji114] oooooooh fvck
Tena hicho kinyesi ni "live" hakijawekewa dawa yoyote, eti wanadai " gloves" zinawachoma, " really?".
 
Tena hicho kinyesi ni "live" hakijawekewa dawa yoyote, eti wanadai " gloves" zinawachoma, " really?".
Dah! Aise kitu fresh kabisa yani dah! Ila kuna watu wana moyo kichizi aisee 😱😱😱😱😱😱
 
Dah! Aise kitu fresh kabisa yani dah! Ila kuna watu wana moyo kichizi aisee [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
Yaani Mimi pamoja na kuwa na umri mkubwa sasa hivi, sijawahi kusikia kama kuna jambo kama hili linaweza kufanyika duniani, hapa nilipo ninatetemeka kama mwenye homa kali.

Ewe Mungu tafadhali, acha Kazi zako zote, nenda Kenya ukaone jinsi viumbe uliowaumba kwa mfano wako wanavyoteseka.
 
Duh hawa jamaa ni noumer na hakuna wanachojali kabisa
 
Back
Top Bottom