Ukiacha Messi, Mchezaji gani unamkubali anayetumia Mguu wa Kushoto?

Kwanza recoba, wa pili kuna mbrazil mmoja nimemuona mno katika video za pele wakati naandaa makala ya pele nadhani yule ni gerson, jamaa alibarikiwa mnoo hasa kutumia mguubwake wa kushoto.
Revoba mchawi wa soka ninaye mkubali sana, kama ilivyo kwa Fernando Redondo, moja ya namba sita mahiri sana ila majeraha yalifanya kipaji chake tusikifaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…