rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Marcelo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Revoba mchawi wa soka ninaye mkubali sana, kama ilivyo kwa Fernando Redondo, moja ya namba sita mahiri sana ila majeraha yalifanya kipaji chake tusikifaidi.Kwanza recoba, wa pili kuna mbrazil mmoja nimemuona mno katika video za pele wakati naandaa makala ya pele nadhani yule ni gerson, jamaa alibarikiwa mnoo hasa kutumia mguubwake wa kushoto.
Nilipoona uzi, nikataka kuandika jina la huyo mwamba chipukizi. Lakini nilipoona comment, nikaamua kuandika jina lake kwa style hii.Mason Greenwood
Marcelo wa RM.
👊👊👊DYBALA ."".MO SALAH"" SILVA"" ACENSIO YUKO VIZURI PIA""
Huyu dogo akiweka juhudi na kutokuwa bitozi Kama ustaaz Pogba atafika mbali Sana.Mason Greenwood
kama unataka mawazo yanayofanana kuhusu huyo mchezaji wenu basi anzisha forum yenu..ila post ikiwa humu ni public post anyone can commentUmelazimishwa kucomment?
Wewe angalau umejaribu.Ortega alikua hatarii.1998 anampg kichwa van de sir, anapewa red card, argentina inatolewa na holand
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app