Ukweli hakua anatumia left ila bongeee la kiungoRiquelme sio liqueme na pia hakuwa left footed player mzee. Get the point
Bila kumsahau Redondo na Fabian AyalaAsee kuna namba kumi mmoja alikua Argentina ya akina Batistuta,alikua anaitwa Eriel Ortega,wacha bhanaa aseee,nadhan vijana wa 96 huyu hawamjui alikua ni mwiba kweli kweli
Fabian Ayala [emoji777]