Ukiacha Messi, Mchezaji gani unamkubali anayetumia Mguu wa Kushoto?

Ukiacha Messi, Mchezaji gani unamkubali anayetumia Mguu wa Kushoto?

Zab Yuda mwana masumbwi pekee aliyewahi kumdondosha Floyd Maywether chini kwa left hook ya maana.

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mimi kwa sababu siwezi kutembea na mguu wa kulia peke yake.ROBERTO DE CARLOS, EDGAR DAVIDS,
 
Dembele,sane,saka, odegard, marhez

Kwenye mpira nawakubali sana left footers wanajua sana
 
Back
Top Bottom