Ukiacha mitandao ya kijamii, unaonekana kwenye majukwaa yapi ya maana huko duniani?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Leo nimeamka kichwa kiko ndwii kutokana na mvinyo wa wikiendi ulioanza ijumaa, nikasema ngoja niingie Google, niandike jina langu nione linatokea kwenye majukwaa yapi huko duniani.

Ile naingiza jina kwenye ‘Google’ na kulitafuta, mara mkeka ukashuka chapu na kuonyesha majukwaa mbalimbali niliyoweza kushiriki pamoja na kubadilishana nao abc.

Kutokana na nilichokiona, acha niendelee kupiga mvinyo huku nikitafakari namna ya kuandaa ‘’concept note’’.

Kwa sasa ukinizingua tu, natafuta Jina lako kwenye ‘Google’ nikuone unapatikana kwenye majukwaa yapi, kama unaonekana kwenye mitandao ya kijamii tu na ‘local platform’ au huonekani kabisa, sitabishana na wewe.

Tuendelee kula wikiendi kwa mikono yote miwili.​
 
1. JamiiForums
2. JamiiForums
3. JamiiForums
 
Wewe ni mfu au wewe ni nani coz kama wewe haupo duniani unayatakia ya dunia nini kwani inaoneka hauko dunia hii.
 
Ukisearch jina langu harisi, Sehemu pekee utaon lime appear, Itumishi tena shorlisted for interview 😁

Ni huzuni
 
Back
Top Bottom