Ukiacha na kupata magonjwa ya aibu bado uzinzi unaua focus sana

Mtu akizungumzia mambo ya Semen Retention na bra bra nyingine namchukulia kama motivation speaker tu.
Ukiwa kijana unaetafuta mafanikio wewe TIA ila tafuta namna ya kupunguza gharama za ku TIA , Kufanya mapenzi kwa wastani kuna faida nyingi kuliko mambo ya Semen retention.
 
Kuna sehemu nilichukua haya maneno nahisi ni wewe uliongea kiongozi DR HAYA LAND

""Se.x is overrated play safe kama kujana usikubali kutafuta matatizo ambayo yataharibu bajeti yako ya maisha..
Maana mtaji wetu sisi hustler ni afya
""
Haya maneno bado naishi nayo sana aiseeeee saaa hii uliyoleta leo mpya hebu nijuze vizuri kwanza
 
Akija bila gadi unagawa wastani kwa idadi
 
Kweli kabisa kijana...unaepuka na magonjwa ya tezi dume...
Kwahyo mnatuoa halafu mnataka mfanye retention.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…