DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
- Thread starter
- #21
Dr hii mbona ni ngumu an wewe no nyeto no kulana
Ahahahaha aiseee hii tunasema kijiko cha moto kuliko sufuria mkuu
Mambo yote mkuu ni nishati (Energy)
Energy ya sex ni kubwa Sana kutoka kwa mwanaume ukiibadilishia Matumizi na ukaielekeza katika ,biashara ,kazi, ubunifu utaona mabadiliko makubwa .
Spirituality and physically