Ukiacha na kupata magonjwa ya aibu bado uzinzi unaua focus sana

Ukiacha na kupata magonjwa ya aibu bado uzinzi unaua focus sana

Kwa wanawake wao wafanye nini retention?
Mafanikio yanawahusu wanaume, wanawake Mafanikio ya nini?

Ulishawahi kusikia humu, wanaume wana gundu? Ila wanawake je ?

To misogynist ni aheri ulale na shoga watakusamehe ila ukilala na mwanamke wataanza kanuni na vipengele kibao!

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

(Reply yangu sehemu ya mwisho haihusiani na mada)
 
Kama unatafuta mafanikio au kazi au kusimamisha Empire yako ebu fanya semen retention then utanipa majibu.
Kama una mke jidanganye kufanya hiyo semen retention yako utatombewa mke ata na muuza dagaa mchele๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜๐Ÿ˜
jiulize kwann enzi za manabii na mitume wake zao waliwaruhusu mpaka kutomba vijakazi๐Ÿ˜๐Ÿ˜ kuna muda inatakiwa u format mwili๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ utoe visivyohitajika kwako lakin vinahitajika kwa mwanamke๐Ÿ˜
 
Mafanikio yanawahusu wanaume, wanawake Mafanikio ya nini?

Ulishawahi kusikia humu, wanaume wana gundu? Ila wanawake je ?

To misogynist ni aheri ulale na shoga watakusamehe ila ukilala na mwanamke wataanza kanuni na vipengele kibao!

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

(Reply yangu sehemu ya mwisho haihusiani na mada)
Mtoa mada yupo sahihi sana hata mimi sioni sababu ya kutoa mbegu ovyo pasipo malengo ya kuzaliana ,sema yeye ajaelezea upande wa wanawake tu
 
Back
Top Bottom