Ukiacha na kupata magonjwa ya aibu bado uzinzi unaua focus sana

Kwa wanawake wao wafanye nini retention?
Mafanikio yanawahusu wanaume, wanawake Mafanikio ya nini?

Ulishawahi kusikia humu, wanaume wana gundu? Ila wanawake je ?

To misogynist ni aheri ulale na shoga watakusamehe ila ukilala na mwanamke wataanza kanuni na vipengele kibao!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

(Reply yangu sehemu ya mwisho haihusiani na mada)
 
Kama unatafuta mafanikio au kazi au kusimamisha Empire yako ebu fanya semen retention then utanipa majibu.
Kama una mke jidanganye kufanya hiyo semen retention yako utatombewa mke ata na muuza dagaa mcheleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜
jiulize kwann enzi za manabii na mitume wake zao waliwaruhusu mpaka kutomba vijakazi😁😁 kuna muda inatakiwa u format mwiliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ utoe visivyohitajika kwako lakin vinahitajika kwa mwanamke😁
 
Mtoa mada yupo sahihi sana hata mimi sioni sababu ya kutoa mbegu ovyo pasipo malengo ya kuzaliana ,sema yeye ajaelezea upande wa wanawake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…